ict management

  1. neophyte

    html5 & css

    katika programing language hasa html5&CSS ndio lugha nilio anza nayo na nahitaji kubobea katika hii lugha na web designing ila kuna changamoto mbalimbali amazo zinanikabili katika safari yangu kaba vile kuchagua rangi nzuri yaani (background color) na kuilemba website pia natumia notepad++...
Top