Kitambo kidogo Adam tulikuwa tunakula nae bata South Beach (Kipepeo), alikuwaga na manzi wa kizungu. Mshikaji yuko poa sana, mara ya mwisho nilipanda nae basi kutoka Arusha kuja Dar, kufika Ubungo akanipa lift ya taxi mpaka mitaa ya kati. Alisema anapiga business kwenye intertainment. Ngoja nimtafute Facebook.