Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
Aisee lile goma ilikuwa balaa kipindi hcho shule si mchezo
Mayooooo kipindi hicho ipigwe enomic, ikiisha kinawekwa kitu mabinti wa kitanga hahahaha weka mbali na watoto
Umesahau na johnny song lako. Sasa hivi na utu uzima huu, viuno vishakomaaa wee, kushindana na vitoto vya siku hizi utategua tu kiuno kama sio kuvunja miguu. Basi inabidi tu ni opt kwenye salsa na rhumba yani full zilipendwa. teh teh teh ikipigwa tu rangi ya chungwa na zile kina georgina ndo najifanya mjanja hahaah
Hhhhhhhaaaaa yaa ile akisema tu Huhaaaa Yemi alade ni shidaaaa,hata mi siku hizi napenda Bakurutu wee sipitwii,kwenye live band ndio utamu rahaa,
Hhhhhhhaaaaa yaa ile akisema tu Huhaaaa Yemi alade ni shidaaaa,hata mi siku hizi napenda Bakurutu wee sipitwii,kwenye live band ndio utamu rahaa,
Hahahaaaa Dinazarde weweee,eti huhaaaaa
Huo wimbo unachezeka vizuri sana jaribu kidogo kidogo
Kiruuuuuu mie hapo tutaonana muziki tu ukiisha. Muda wa kukaa chini sina while masong yanashushwa tu. Binamu nikisikia misebene naugua kabisaaaa hahaha, kisanola, bakandja loooh ntasumbuaje sasa wakati kucheza kwenyewe sijui
Kucheza si ni kurusha viungo tu au we mpaka uchezejee hhhhaaa
Aaah dina viungo si vinarushwa kwa step bana. Sasa mie narusha tu kiungo chochote kitakachorushika kwa unafuu hahaha
Mi mwenzio hua nacheza hata kichwa tu au narusha nyonyo tu basii imepita hiyoo
hahaaaaaaa!!
nyonyo km isha
Eeee hivyo ila mwenzangu zake kubwa kama makalio ya Agnes masogange
mpaka namuoneaga huruma