msanii wetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msanii wetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mdaumie, Oct 29, 2010.

 1. m

  mdaumie Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo nilikuwa namsikiliza JK.
  kuna sehemu amenihuzunisha sana pale nilipomsikia anaimba
  JK:"Daraja Daraja Daraja "
  hicho kibwagizo kimenionyesha huyu mtu ni Msanii wa bongo flavor ila kakosea njia na kuingia kwenye siasa na ndio maana anaendesha nchi kisanii
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Namnukuu: "CCM Oye, watu Oyee. Mheshimiwa darajaaaaa, darajaaa, darajaaa! Mimi nikawauliza, daraja kitu gani?..........."

  Hehe, Kikwete ana vituko kweli
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  still i dont get it
   
 4. O

  Ogah JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mazee usiniangushe.........aisee!
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hukusikia na mashaili yake kila anapoimba anatoa na kicheko utadhani 2Pac!
   
Loading...