comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,355
- 16,968
Wanaotoka uisilamu kwenda Ukristu hufanya hivyo kimya kimya au kwa siri kwa hofu ya kudhuriwa maana imani ya kiisilamu inatoa ruhusa kwa aliyeritadi kuuawa, ndio maana inaonekana kama sio stori maana ikisambaa ni hatari kwa mtu huyoKwanini kubadili Dini kutoka Ukristo kwenda uislamu inakua story Sana??
Basi uislamu NI Dini HATARI Kwa jamii kama ndio hivyoWanaotoka uisilamu kwenda Ukristu hufanya hivyo kimya kimya au kwa siri kwa hofu ya kudhuriwa maana imani ya kiisilamu inatoa ruhusa kwa aliyeritadi kuuawa, ndio maana inaonekana kama sio stori maana ikisambaa ni hatari kwa mtu huyo
Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapyaKwanini kubadili Dini kutoka Ukristo kwenda uislamu inakua story Sana??
Na kwanini kutoka uislamu kwenda Ukristo inachukuwa kawaida tuu
View attachment 3437768
Hichi kitu huwa ni nadra sana na inakuwa si habari kwa mkristo kwenda kwenye uislamu kwa hilo ndilo lililozoeleka.Kwanini kubadili Dini kutoka Ukristo kwenda uislamu inakua story Sana??
Na kwanini kutoka uislamu kwenda Ukristo inachukuwa kawaida tuu
View attachment 3437768
Nyie hamukawii kumchinja mtuHichi kitu huwa ni nadra sana na inakuwa si habari kwa mkristo kwenda kwenye uislamu kwa hilo ndilo lililozoeleka.
Na kwa kijana wa kiislam anayeufahamu uislamu wake ni ngumu kufanya hayo maamuzi.
Allah huwa hana huruma kabisaKwa mujibu wa Aya za allah mtu ukiritadi anauwawa.
Type andiko tusiwe na shakaKwa mujibu wa Aya za allah mtu ukiritadi anauwawa.
Mbona kama mchicha mwiba huyu mtu👹👹👺😂😂🏃Kwanini kubadili Dini kutoka Ukristo kwenda uislamu inakua story Sana??
Na kwanini kutoka uislamu kwenda Ukristo inachukuwa kawaida tuu
View attachment 3437768