Exaud Mamuya
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 403
- 243
Hivi ndivyo alivyo funguka Twitter na FacebookView attachment 99314
"Shikamoo Mbunge wa Segerea Bwana Makongoro Mahanga,imetosha sasa nadhani ni zamu yangu kuwatumikia wana-Segerea 2015 kupitia CHADEMA"
This way ccm watakosa watu wa kuwaimbia kwenye kampeni
Jirani na Iramba magharibi sio ridhki kabisa nitakuibox details
HUYU JAMAA ANAWEZA KWELI AKAWA NA UHUSIANO WA KARIBU NA MAREHEMU SAVIMBI.MIMI NAONA KAMA WANAFANANA KISURA NA KIMATENDO ila tofauti ni rangi zao tu.Hawezi kujiunga na hawa
View attachment 99318
Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.[/QU HAYO NI MAWAZO MGANDO SOGY HANA NJAA KM WW.
Du hawa jamaa wanafanan pua...! Hawana undugu kweli'''Hawezi kujiunga na hawa
View attachment 99318
Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
kwahio unataka wakimbilie proini? au kwenye nyumba za ibada? mbona wakija CCM unakua kimya?
hivi ndivyo alivyo funguka twitter na facebookView attachment 99314
"shikamoo mbunge wa segerea bwana makongoro mahanga,imetosha sasa nadhani ni zamu yangu kuwatumikia wana-segerea 2015 kupitia chadema"
du hawa jamaa wanafanan pua...! Hawana undugu kweli'''
Nasikia akina Mwita maronya wanaogopa kuona hawa wasanii wanajazana kuomba ubunge, kesho nasikia kingwendu nae atajiunga na kutangaza kugombea ubunge kwa tiketi ya chadomoInashangaza sana huyu jamaa kajiunga jana Chadema anataka apewe nafasi ya ubunge, wakati kina Mohamedi Mtoi, kila siku wanatumika lakini hata kiongozi wa kata ajapewa huko Bumbuli.
CC; chama,
Nasikia akina Mwita maronya wanaogopa kuona hawa wasanii wanajazana kuomba ubunge, kesho nasikia kingwendu nae atajiunga na kutangaza kugombea ubunge kwa tiketi ya chadomo