Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Wanaoomba nyuchi wapo kirundo na mwanamke bila kuwa makini utashangaa umetoka na timu za mpira za mafungu.
Wanaume tunatabia ya kusukumiana wanawake, Boss akishakula anamshikishia na Rafiki yake naye ale... Ndio maana unakuta mastaa wa kike wanaliwa na mabosi wale wale...
 
Ruby ana mvuto flani hivi ni ngumu kidgo kuelezea, Kuna clip moja niliona anacheza singeli aisee binti kembamba lakin kalikuwa kanazungusha tutako vyake balaa, pale pale nikaanza kumvutia picha na kujisemea kimoyomoxo yaan haka unakaweka hivi Kisha unakabeba unapiga hivi!!! 😂😂😂
Bongo nyosoo 😂😂
 
Tatizo braza anataka kumuiga boss wa tandale kwamba na yeye kapiga nyingi................ila braza kismati cha kukanyaga kondooo hana pamoja na pesa zake.........yeye ale wale wale walio na mabakuli na mabwawa ya stiglers goggle..........watu waliotembea kilometres za mlima everest
Braza anataka aende bampa tu bampa na historia za kina Ruge, sasa hivi anakimbizana na Chibu kuwala watoto
 
Kuna wanaume hawaridhiki na vitu vizuri walivyo navyo. Majizo ana mtoto mkali lulu, anahangaika na ruby wa nini? Ruby mwenyewe si yule wa wimbo wake wa mwanzo 'na yule' alikuwa pisi kali hasa enzi hizo
Anataka madini yote pekee yake😀😀
 
🤣🤣🤣🤣Nisikumbuke vipi,watu tuna mafile Yao kitambo.
Ila kwenye kuchanga karata mi naona kama anabugi,inakuwaje anawakataa watu wanaweza kumpa connection halafu anaenda date na vilamba lips mbalimbali anakaa anajibishana na watu Insta Sasa si Bora atoke tu na wenye maisha Yao?
Mie nimemshangaa kweli kalogwa analeta ubisho ujuaji , eti wenye nchi anawadhalilisha atabakia na njaa tu bahati kaitupa matopeni machizi wengi .

Mmoja ni yeye aanvutishwa bangi, analiwa kisela na bado analia lia . Kuna mengine unakubali kama hayoo ila wasi wasi wangu je majizzo ni mzima??
 
Previous Vanessa Alisema rushwa ya ngono ni issue kubwa sana kwa industry. Na kuna report Majizzo was after her na aliamua kuacha muziki Kabisa.

Currently ruby Anasema Tena. The same things. Same person yupo accused. Sasa, till when tutachukua hatua hata kumuhoji? Why? What measures anachukua on his company? Why just him? Watu wanamuangalia tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom