GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 2,016
- 7,403
Kumbe unakumbuka Ila unajizima data 😁😁
Ruby kiukweli inaonekana hataki kabisa kujirahisisha na issue ya nandy kuwa replacement ilikuwa wazi. Ndio maana nyimbo za kwanza za nandy alikuwa anasound kama Ruby
Hata yule buibui nae alipigwa pini, Barnaba akapewa chance
Mwasiti na vumilia, yaani huu mziki ni kichwa ngumu
Namtania, wala sipo seriousAkhu! Me mnipe fungu la kumi tu.
Nimewapa baraka zote [emoji1783][emoji113]
Hataki kuliwa sasa kwani nilazima??Haka kaRubby kenyewe kutwa kugombana na wamiliki wa Media.
Alianza kukorofishana na Ruge na sasa Majizo.
Ila napenda sana spirit yake ya kutonyenyekea pale anapoona kuna njama za kumlaghai na kumkandamiza.
Bahati mbaya sana Bongo, usipotoa kitu hupati kitu.
Je huyo tapeli mshenzi mkubwaShe is a real psycho...
Muziki umemkataa, aangalie mambo mengine tu.
Aende kwa Mwasiti apewe somo
🤣🤣🤣🤣Nisikumbuke vipi,watu tuna mafile Yao kitambo.Kumbe unakumbuka Ila unajizima data 😁😁
Ruby kiukweli inaonekana hataki kabisa kujirahisisha na issue ya nandy kuwa replacement ilikuwa wazi. Ndio maana nyimbo za kwanza za nandy alikuwa anasound kama Ruby
Hata yule buibui nae alipigwa pini, Barnaba akapewa chance
Mwasiti na vumilia, yaani huu mziki ni kichwa ngumu
🤣🤣🤣🤣Nisikumbuke vipi,watu tuna mafile Yao kitambo.
Ila kwenye kuchanga karata mi naona kama anabugi,inakuwaje anawakataa watu wanaweza kumpa connection halafu anaenda date na vilamba lips mbalimbali anakaa anajibishana na watu Insta Sasa si Bora atoke tu na wenye maisha Yao?
Hana pride yeyote Ile clip kajiaibisha,anajifanya anapride halafu anaanza kulia kwenye mtandao eti hasaidiwi!Kuna watu hawapendi unyonge by nature kwa hiyo hawaangalii maslahi kwenye masualla yao kuliko kulinda pride
Ukiskia maskini jeuri ndo hiyo
Nandy ametoa hits song nyingii baada ya ruge kufariki kuliko alivyokuwa hai.
Nandy ametamba sana bila ruge.
Ruby toka ameondoka THT hajawai kutoa Hit song hata moja kumzidi nandy
Ushawahi kutana na maskini jeuri!!Hana pride yeyote Ile clip kajiaibisha,anajifanya anapride halafu anaanza kulia kwenye mtandao eti hasaidiwi!
Naona atajifunza kupitia huu uzi,maana wadau wamefunguka sanaUshawahi kutana na maskini jeuri!!
Anataka umsaidie kwa terms zake yeye na Ruby anaona kipaji chake kinatosha kumfikisha mjini. Anachosahau kukosa mtunzi mzuri, producer mkali, video nzuri na connection kali hawezi kutoboa kirahisi
Namtania, wala sipo serious
Asantee....wewe ndio umeongea, comment nyingi humu hawataki kupiga vita rushwa za ngono, wengi ndio wanahararisha, wako radhi mtu ateseke kisa tu amesema hatoi uchi95% ya watanzania na waafrica ni Sadists. Furaha yao kubwa ni kuona mwingine anaumia. Roho mbaya ni kama jadi. Binti analalama na bado anabezwa. Inasikitisha sanaa.
WaHaya tumeingiaje hapo Ofisaa... Kwanza kila mtu anapenda sifa, Sifa ni maisha ya binadamu... Sasa wewe kama hupendi sifa, inatakiwa ukitizama mara mbili... Sifaa maana yake unajikubali, wewe hujikubali? Au unasubiri mpaka wafu wakukubaliMhaya Yao sifa asili yake na dharau
Wanaume hakuna mademu wanaotuumizaga vichwa kama Demu akuzungushe mzigo, wale wa staki nataka... Lakini hawa leo umekutana naye kakupa mzigo, hao tunaonaga wa kawaida... Uenda Ruby zile staki nataka ndio zilimchanganya majizzoNina maswali kadhaa hapa
Kwanin hakusema hapo awali kuwa anaombwa rushwa ya ngono mpaka alipokataliwa kupewa saport?
Mbona kama anajichanganya anapesema kuwa Majay hampati mara wanaonana mara nyingi?
Ni huyu RUby aliekuwa THT wakagombana na Ruge kisa mambo haya haya ya ngono au mengine?
Nawaza kwa uzuri gani Ruby amfanye majizo kuhangaika hivyo kupata mbususu yake?