Msanii Robert Powell awaambia mashabiki yeye si Yesu

Nimekuuliza,Maandiko ya Biblia Takatifu unayaamini kwamba ni neno la Mungu aliye juu?.
Mimi nipo tayari kukpa vifungu kama unaiamini Biblia.
Kama huiamini,kukupa vifungu itakuwa sawa na kukaa upenuni kwa wenye mizaha.
Acha kuzunguka zunguka, we toa hiyo mistari humu watu tusome tuthibitishe hicho usemacho, period.
Kuanza kuzunguka zunguka sio dalili nzuri, linapojadiliwa suala linalohusu wakristo basi ushahidi pekee unaotakiwa ni maandiko ya Biblia, hayo ya kuuliza sijui unaamini au la ni kutafuta mlango wa kutokea tu.
 
Hata watu kuabudu sanamu kulianza kwa mfano kama huu,hebu fikiri leo hii jinsi tunavyobishana kuhusu picha ya Yesu je,unafikiri kizazi kinachokuja kitaacha kuabudu hiyo picha? Maana shetani naye anafanya yake kama alivyofanya kwa masanamu na watu wakaabudu sanamu.

Kizazi kijacho ndiyo kitaabudu waziwazi hiyo picha ambayo inachukuliwa ni picha ya mungu. Shetani hana haraka anaendanalo taratibu hili jambo.
 
Mkuu, tuchukulie suala la ujinga, sidhani kama mtu anaweza akasema eti fulani anaongoza ila wee ni mjinga kidogo, NO.

ujinga ni ujinga tu haijalishi mmoja ni mjinga sana na mwengine ni mjinga kiasi mi nadhani hawa wote wanaingia kwenye kundi moja tu au nimekosea kiongozi...?
Nashukuru sana Mkuu.
 
Unajua kama mtu anafanya jambo kwa kutokujua linaweza likaeleweka kuwa alikuwa hajui.

Lakini mtu baada ya kujua na kufaham kuwa jambo fulani sio sahihi kulifanya mtu anatakiwa kuacha na kubadilika. Ila kwa sababu ni mijitu inayopelekwa kama mikondoo basi nayo inaenda tu kama mikondoo kweli.

Baada ya kujua hilo utakuta jitu lilivyo jinga linashindwa hata kuhoji viongozi wa dini yake ili kupata mawazo yao, lakini utakuta jitu lipo tu na linaendelea kuburuzwa tu kama kondoo.

Ni hatari sana kwa kweli.

Cc Farudume, Eiyer, Ishmael
Nashukuru sana.
 
Nitarudia tena na tena kukuambia ujitahidi kuficha upumbavu wako.

Mtoa haelewi sawa, lakini hii mada imeandikwa na mtoa mada au imeandikwa na huyo sanamu wenu wa kwenye makanisa...?

Mhusika ndiye aliyesema kuwa amechoka kuona mnaweka picha zake na kumuabudu makanisani kwenu.

Hilo suala ameliongea mtoa mada. Punguza ujinga kidogo basi.
Good!.
 
Mungu awabariki wote wandugu! Lakin yalisemwa aya na Yesu mwenyewe! Kua watatazama lakini hawataona na watasikia lakini hawatoelewa!. Pia na ndyo maana akasema Yeye hukumu yake ni ya Haki.... Na pia neno lake ni kali zaidi ya Upanga ukatao kuwili.
 
Kwanza Punguza Jazba.
Nahisi wewe sio mkristo lakini jitahidi kuwa kama wakristo maana hatuendeshwi na Mihemko.
Mtoa Mada haelewi kwa sababu angekuwa anaelewa asingeandika mada rahisi kiasi hiki.
Kuhusu huyo Msanii aliyesema hayo maneno naye hajitambui kwani walishindanishwa watu wengi ambao sura zao zinafanana na Yesu kwa ajili ya kucheza hiyo Sinema ya Kufundishia naye akafaulu usaili.
Ni upotofu kwake na wengine kudhani kwamba sasa wakristo wanaamini kwamba yeye ni Yesu.

Hizo sanamu zake muwekazo mbele yenu pindi muabudupo ni ili iweje...?

Kama ali-act kwa ajili ya kufundisha si ingebaki tu kwenye mchezo alioigiza sasa iweje mmuweke na kuchonga sanamu zake na kuliweka mbele kunako ibada zenu...?. Nini linasababisha nyinyi kufanya hivyo...?.
 
Wewe mzito sana kuelewa na hii ni sifa mojawapo ya Bingwa wa Kukariri.
Narudia tena kwamba Kanisa Katoliki haliabudu sanamu.
Fikisha huu Ujumbe kwa Mchungaji wako.Mwambie Kanisa Katoliki ndilo kanisa linalofuata Maagizo ya Biblia kuliko Makanisa Yote Duniani.

Kwa hiyo ndani ya kanisa katoliki hamna hizo picha na sanamu za huyo mzungu na mamake...?

Naomba kujua hilo tafadhali.

AHSANTE.
 
Unapotoa hoja zinazohusu IMANI na Mungu huna budi kuambatanisha na Andiko.
Sio unatoa vitu kichwani na kujaribu ku justify Idol worship.

Wapi Mungu kasema Tafuteni Picha muifanye aid ya kuniabudu mimi?

Wapi Yesu au wanafunzi wake 12 waliweka Picha kuwa aid kuabudu Mungu?

Acheni kabisa kuleta fikra zenu binafsi ktk Kumuabudu MUNGU.
Ndio maana Mungu akaleta Maandiko ili yawe ndio MAELEKEZO NA MAAMRISHO PEKEE ya namna Ya KUABUDU.

Biblia inasema.

Leviticus 26:1 ►

"'Do not make idols or set up an image or a sacred stone for yourselves, and do not place a carved stone in your land to bow down before it. I am the LORD your God.

Biblia IMEKATAZA Ibada ya Kutengeneza au kuweka Picha au sanamu au JIWE au Chochote cha mfano huo.

Wewe nani kakupa Ruksa kuweka picha ya Mzungu kanisani?

Naheshimu mawazo yako sana mkuu. Hujawahi kuniangusha kwa namna iwayeyote Ile.

Fiy Quluubihim Maradhwun Fazaadahumullah Maradhwa.

Zilishaota kutu nyoyo zao. Kutu itakayoendelea kurithiwa na kimoja baada ya kingine katika vizazi vyao.
 
Mungu awabariki wote wandugu! Lakin yalisemwa aya na Yesu mwenyewe! Kua watatazama lakini hawataona na watasikia lakini hawatoelewa!. Pia na ndyo maana akasema Yeye hukumu yake ni ya Haki.... Na pia neno lake ni kali zaidi ya Upanga ukatao kuwili.

Hata umpigie ngoma kiziwi, atacheza kwa kuskia kwa macho tu mkuu.
 
Ata yesu akirudi atawaambia yeye si mungu ni mtume tu aliyetumwa kuwapa habar za mungu watu wakapotosha wengine kwamba yeye mwenyewe ndio mungu hadi Leo hawataki kuamini kwamba yule jamaa sio mungu
 
Napita tu!!!!
6892caf0a7be673fe7b772cac8692d9e.jpg
 
Back
Top Bottom