Nimekuuliza,Maandiko ya Biblia Takatifu unayaamini kwamba ni neno la Mungu aliye juu?.
Mimi nipo tayari kukpa vifungu kama unaiamini Biblia.
Kama huiamini,kukupa vifungu itakuwa sawa na kukaa upenuni kwa wenye mizaha.
Na.mimi nimekujibu kuwa BIBLIA yote SIO MANENO YA MUNGU.
Yamo maneno ya watu mengi mno.
Yenye lengo la KUPINGA AMRI ZA MUNGU.
Ntakupa mfano wa maneno ya Mungu na maneno ya Watu ktk BIBLIA.
mfano WA MANENO YA MUNGU.
[emoji116]
Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).
Agizo hilo limerudiwa katika Kumbukumbu la Shari’ah 14: 7 – 8 na pia Isaya 66: 17. Na katika Agano Jipya, Yesu naye amesema kuwa hakuja kutangua shari’ah na mafundisho ya manabii bali kukamilisha (Mathayo 5: 17). Kwa ibara hiyo ni kuwa Yesu pia aliharamisha ulaji wa nguruwe.
MANENO YA WATU WENYE LENGO LA KUPINGA MANENO YA MUNGU.
[emoji116]
Basi, usiiharibu kazi ya Mungu kwa sababu ya ubishi juu ya chakula. Vyakula vyote ni halali, lakini haifai kula chakula ambacho kitamfanya aanguke katika dhambi” (Waroma 14: 20)
Katika kuungana na Bwana Yesu, nina hakika kwamba hakuna kitu chochote kilicho najisi kwa asili yake” (Waroma 14: 14).
Paulo amesema tena kuwa kila kitu alichoumba Mungu ni chema wala hakuna kinachohitaji kukataliwa (1 Timetheo 4: 3 – 5).
Sasa nipe andiko linalo kuruhusu wewe KUWEKA SANAMU na Picha popote pale.