Msomi hewa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 768
- 1,067
.....Tunamzungumzia Robert Powell na si Brian Decon!Kwani kuwekwa kanisani kuna shida gani...? Zinawekwa kanisani kwa lengo gani...? Hayo ndiyo maswali ya kujiuliza....
BTW: huyo brian Decon hajielewi....Hata Yeye kupatikana kuigiza Scene ya Yesu ilibidi wa-refer picha za Yesu za Karne na Karne zilizokuwepo ndiyo yeye akapatikana...