Wakatoriki wanaongoza! Mpaka msalaba wamemchongea na kuusimamisha huku na kuubeba beba imeambatana na kinyago cha uyu MTU.
Hakuna anayemuabudu yeye! Ila kama hataki picha itumike sawa ila akatae na pesa alizopata kumuigiza Yesu! Nakubaliana na ujumbe wake wa mwisho
Yaani huyu jamaa ana kazi mpaka watu waje wamuelewe. Leo hii ukitaka ufe uchukue picha yake uichome hadharani,...huku africa ndio huwaambii kitu. wanajua huyo ndie yesu hasaaa. Tukijua teknolojia ya kuchukua picha imekuwepo tangu lini tutufahamu kuwa hakuna picha ya yesu.
Takbih !!!