Msanii Robert Powell awaambia mashabiki yeye si Yesu

Kwani kuabudu masanam na na Hugo jamaa au picha za huyo jamaa kuna utofauti gani?
 
Nitarudia tena na tena kukuambia ujitahidi kuficha upumbavu wako.

Mtoa haelewi sawa, lakini hii mada imeandikwa na mtoa mada au imeandikwa na huyo sanamu wenu wa kwenye makanisa...?

Mhusika ndiye aliyesema kuwa amechoka kuona mnaweka picha zake na kumuabudu makanisani kwenu.

Hilo suala ameliongea mtoa mada. Punguza ujinga kidogo basi.

Kwanza Punguza Jazba.
Nahisi wewe sio mkristo lakini jitahidi kuwa kama wakristo maana hatuendeshwi na Mihemko.
Mtoa Mada haelewi kwa sababu angekuwa anaelewa asingeandika mada rahisi kiasi hiki.
Kuhusu huyo Msanii aliyesema hayo maneno naye hajitambui kwani walishindanishwa watu wengi ambao sura zao zinafanana na Yesu kwa ajili ya kucheza hiyo Sinema ya Kufundishia naye akafaulu usaili.
Ni upotofu kwake na wengine kudhani kwamba sasa wakristo wanaamini kwamba yeye ni Yesu.
 
Well Asante kwa kunielewesha hapo ! Swali langu sasa Ni hili
Kuna mitume/ Manabii wengi baada yake ....Mbona hao picha zao hazipo/hatuzione? Na je kwanini picha ya Yesu haipo/haiwekwi ndani ya biblia if Ni sura yake Rasmi hii tunayo iona?

Kanisa Katoliki lina mamlaka ya kuamua Picha gani iwekwe sehemu gani.
Kanisa Katoliki halikuona sababu ya kuweka Picha ya Yesu katika Biblia.
 
Ipo siku atajitangaza Shoga ndio akili za waliompamba Majumbani Kama Mungu ndio watajua Mungu sio Issue ya Masihara
 
Ametoa ushauri mzuri tu maana ni ukweli usiopingika wapo watu wasio na maarifa ambao watakua wanamuabudu badala ya kuchukulia kuwa alikuwa anaigiza kwa lengo la kujipatia kipato.
Ndugu mimi si mkristo ila imeniathir toka utoto wangu nilijua ndiye Mungu wenu sababu tunaishi na wakristo hadi haya mambo ya social networks yaliposhamir ndipo nimewajua vzur hawa wazungu wanaomuigiza Yesu vp watoto wadogo wanaokuwa kila siku wanamuona sebureni?
 
Sawa, kwa hiyo ndio muabudu sanamu la mzungu...?

Eti mapokeo na maelekezo ya Biblia. Unajua biblia imesema nini juu ya kuchonga sanamu na kuliabudu...?

Wewe mzito sana kuelewa na hii ni sifa mojawapo ya Bingwa wa Kukariri.
Narudia tena kwamba Kanisa Katoliki haliabudu sanamu.
Fikisha huu Ujumbe kwa Mchungaji wako.Mwambie Kanisa Katoliki ndilo kanisa linalofuata Maagizo ya Biblia kuliko Makanisa Yote Duniani.
 
Hakuna mtu anaeabudu sura au yule mtu aliyeigiza kama Yesu.
Ile ni kama "Teaching Aid".Ni aina fulani ya kujifunzia neno la Mungu.
Kuhusu swala la Sura ya Yesu lazima mjue kwamba watu wanarithishana habari na picha kwa njia ya Mapokeo vilevile.
Hata hivyo mambo ya Kimungu sio ya kuendea kwa papara.Huwezi kusema kwamba enzi za Yesu hapakuwa na utaalamu wa kupiga picha hivyo Picha ya Yesu haikuwepo.Kumbuka kwamba Yesu alitembea juu ya Maji ijapokuwa utaalamu huo haujafika duniani mpaka sasa.
Unapotoa hoja zinazohusu IMANI na Mungu huna budi kuambatanisha na Andiko.
Sio unatoa vitu kichwani na kujaribu ku justify Idol worship.

Wapi Mungu kasema Tafuteni Picha muifanye aid ya kuniabudu mimi?

Wapi Yesu au wanafunzi wake 12 waliweka Picha kuwa aid kuabudu Mungu?

Acheni kabisa kuleta fikra zenu binafsi ktk Kumuabudu MUNGU.
Ndio maana Mungu akaleta Maandiko ili yawe ndio MAELEKEZO NA MAAMRISHO PEKEE ya namna Ya KUABUDU.

Biblia inasema.

Leviticus 26:1 ►

"'Do not make idols or set up an image or a sacred stone for yourselves, and do not place a carved stone in your land to bow down before it. I am the LORD your God.

Biblia IMEKATAZA Ibada ya Kutengeneza au kuweka Picha au sanamu au JIWE au Chochote cha mfano huo.

Wewe nani kakupa Ruksa kuweka picha ya Mzungu kanisani?
 
Kanisa Katoliki lina mamlaka ya kuamua Picha gani iwekwe sehemu gani.
Kanisa Katoliki halikuona sababu ya kuweka Picha ya Yesu katika Biblia.

Hapa ndipo ninapo tamani kuwa mpagani milele! Kwaiyo unataka kuniaminisha yakuwa picha ya Yesu si ya Muhimu kuwepo ndani ya biblia! Duuuh haya mkuu sina maneno tena
 
Nani kakudanganya kujifanyia sanamu ya kuchonga ni kosa?.
BIBLIA IMESEMA.
na Kama wewe unajiita MKRISTO basi Ni LAZIMA ufuate au wewe hutostahiki Kuitwa au kujiita MFUASI wa Yesu.

Leviticus 26:1 ►

"'Do not make idols or set up an image or a sacred stone for yourselves, and do not place a carved stone in your land to bow down before it. I am the LORD your God.

Ezekiel 20:31

"When you offer your gifts, when you cause your sons to pass through the fire, you are defiling yourselves with all your idols to this day. And shall I be inquired of by you, O house of Israel? As I live," declares the Lord GOD, "I will not be inquired of by you.

2 Kings 17:41

So while these nations feared the LORD, they also served their idols; their children likewise and their grandchildren, as their fathers did, so they do to this day.
 
Unapotoa hoja zinazohusu IMANI na Mungu huna budi kuambatanisha na Andiko.
Sio unatoa vitu kichwani na kujaribu ku justify Idol worship.

Wapi Mungu kasema Tafuteni Picha muifanye aid ya kuniabudu mimi?

Wapi Yesu au wanafunzi wake 12 waliweka Picha kuwa aid kuabudu Mungu?

Acheni kabisa kuleta fikra zenu binafsi ktk Kumuabudu MUNGU.
Ndio maana Mungu akaleta Maandiko ili yawe ndio MAELEKEZO NA MAAMRISHO PEKEE ya namna Ya KUABUDU.

Biblia inasema.

Leviticus 26:1 ►

"'Do not make idols or set up an image or a sacred stone for yourselves, and do not place a carved stone in your land to bow down before it. I am the LORD your God.

Biblia IMEKATAZA Ibada ya Kutengeneza au kuweka Picha au sanamu au JIWE au Chochote cha mfano huo.

Wewe nani kakupa Ruksa kuweka picha ya Mzungu kanisani?
Wewe siulishasema mijadala ya dini umeachaa na ukaomba msamaha hapa JF....?

Anyway nyie Waislam kale ka mwezi na nyota kwenye miskiti yenu kanafanya nini...
 
Hapa ndipo ninapo tamani kuwa mpagani milele! Kwaiyo unataka kuniaminisha yakuwa picha ya Yesu si ya Muhimu kuwepo ndani ya biblia! Duuuh haya mkuu sina maneno tena
Lengo la biblia ni picha au yale yaliyomo??
 
Kwanza kabisa nikusahihishe:Hakuna sehemu yoyote niliyosema tunaabudu Sanamu.Nilichosema ni kwamba Sinema ya Yesu ni "Teaching Aid" yaani zana ya kufundishia.

Sijatoa vifungu kwa sababu humu watu wana Imani Tofauti.
Kuna Waislamu,FreeMason.Hindu nk.
Watu kama hao ukitoa nukuu ya Biblia sio rahisi kuiamini.

Kwa mtu anayehitaji vifungu vya uthibitisho wa ninayoyasema kutoka katika Biblia na akanihakikishia kwamba anaiamini Biblia kama neno la Mungu aliye hai,nitampa vifungu mpaka ashangae na kwa kweli atabarikiwa navyo.
 
Hakuna sehemu Niliwahi kusema Sintoshiriki ktk majadiliano ya DINI.

Nilichosema kingine kabisa. Kanisome kwanza vizuri.

Pili Hakuna Sehemu Waislamu waneweka Mwezi na Nyota wakaipigia goti au Kuiabudu.

Mwezi na Nyota ni Alama tu.
Kukufahamisha wewe na mimj kuwa Nyumba hii yenye mwezi na Nyota Juu ANAABUDIWA MUNGU MMOJA TU.
Hana Mtoto wala Hajazaliwa.
Wala HAJAFA.

ni hilo tu kiongozi.
 
Hakuna mtu anaeabudu sura au yule mtu aliyeigiza kama Yesu.
Ile ni kama "Teaching Aid".Ni aina fulani ya kujifunzia neno la Mungu.
Kuhusu swala la Sura ya Yesu lazima mjue kwamba watu wanarithishana habari na picha kwa njia ya Mapokeo vilevile.
Hata hivyo mambo ya Kimungu sio ya kuendea kwa papara.Huwezi kusema kwamba enzi za Yesu hapakuwa na utaalamu wa kupiga picha hivyo Picha ya Yesu haikuwepo.Kumbuka kwamba Yesu alitembea juu ya Maji ijapokuwa utaalamu huo haujafika duniani mpaka sasa.
Bro umeongea utumbo.
 
Hapa ndipo ninapo tamani kuwa mpagani milele! Kwaiyo unataka kuniaminisha yakuwa picha ya Yesu si ya Muhimu kuwepo ndani ya biblia! Duuuh haya mkuu sina maneno tena

Nakuhakikishia Kabisa kwamba Picha ya Yesu haina umuhimu wowote katika Biblia.
Chenye umuhimu ni Ujumbe aliokuja kuueneza Duniani.
Kumbuka Yesu ni Mungu na Mungu Sura zote ni zake.
 
Kwanza kabisa nikusahihishe:Hakuna sehemu yoyote niliyosema tunaabudu Sanamu.Nilichosema ni kwamba Sinema ya Yesu ni "Teaching Aid" yaani zana ya kufundishia.

Sijatoa vifungu kwa sababu humu watu wana Imani Tofauti.
Kuna Waislamu,FreeMason.Hindu nk.
Watu kama hao ukitoa nukuu ya Biblia sio rahisi kuiamini.

Kwa mtu anayehitaji vifungu vya uthibitisho wa ninayoyasema kutoka katika Biblia na akanihakikishia kwamba anaiamini Biblia kama neno la Mungu aliye hai,nitampa vifungu mpaka ashangae na kwa kweli atabarikiwa navyo.
Mimi ninamuamini Yesu na Nakubali kwa Moyo mmoja kuwa Jesus was real and He was A Blessed Prophet of GOD ALMIGHTY. But He was NOT GOD.

naomba hio Mistari kutoka ktk biblia inayokupa Ruksa wewe au Mkristo yyt KUWEKA PICHA NA KUIPIGIA GOTI au Kuiabudu km wanavyofanya Leo makanisani ili na mimi nijifunze mkuu.
 
Hata wanaojua nao wanabudi huyo jamaa angalia makanisa mengi yameweka picha hizo tusema viongozi hawajui kama kitu hicho ni kufru
 
Mimi ninamuamini Yesu na Nakubali kwa Moyo mmoja kuwa Jesus was real and He was A Blessed Prophet of GOD ALMIGHTY. But He was NOT GOD.

naomba hio Mistari kutoka ktk biblia inayokupa Ruksa wewe au Mkristo yyt KUWEKA PICHA NA KUIPIGIA GOTI au Kuiabudu km wanavyofanya Leo makanisani ili na mimi nijifunze mkuu.

Umenena Vyema Kumkiri Yesu.
Masahihisho kidogo ni kwamba hakuna sehemu niliyosema tunaabudu Sanamu.Baada ya Masahihisho hayo,
Kubali kwamba yote yaliyoandikwa katika Biblia takatifu ni neno la Mungu aliye juu kabla sijaanza kutiririka.
 
Lengo la biblia ni picha au yale yaliyomo??
Huwezi kumpiga mtu kofi ukasema Lengo lako lilikuwa ni kumpiga Busu mkuu.
Hio haipo.

Picha imekwa MAKANISANI waumini waione km Yule ndio YESU mwenyewe.na KUABUDIWA .

Na Km Tujuavyo Hata km Ile picha Ingelikuwa ni Ya YESU mwenyewe Mtoto wa Maria Pia BIBLIA IMEKATAZA KATAKATA kuweka Picha Sehemu ya IBADA.

Wewe mwenyewe umekubali kuwa Wakati wa Yesu kulikuwa na Wachoraji.
Sasa Nionyeshe ANDIKO MOJA TU linalotoa Ruksa KUCHORA PICHA na KUIWEKA KANISANI.

AU nionyeshe Wapi wanafunzi wa Yesu wale 12 waliweka Picha Ya Yesu hata baada ya Yeye Kuondoka.

Naomba Unipe darasa kidogo na Mimi Nipate Faida
 
Back
Top Bottom