Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,631
- 10,727
Mungu ni mwema sanaMnamkumbuka msanii wa Bongofleva Q Jay kutokea kundi la Wakali Kwanza? Siku hizi ameokoka na kumrudia Mungu. Inasemekana kipindi cha nyuma alipitia wakati mgumu wa uraibu wa pombe na madawa. Hivyo hii ni habari njema sana!!
Mungu ni mwema kila wakati!!View attachment 3089356View attachment 3089357View attachment 3089358
Madawa plus Pombe havijawahi kumfanya mtu akawa kijanaMbona kazeeka hivo
labda madawa kuna watu wanakunywa pombe hugusi! ila walivyosasa!.. halafu na age wamekula vyakutosha maisha haya ni usiige kunya kwa tembo..😂Madawa plus Pombe havijawahi kumfanya mtu akawa kijana
Mbona kama ni watu wawili tofautiMnamkumbuka msanii wa Bongofleva Q Jay kutokea kundi la Wakali Kwanza? Siku hizi ameokoka na kumrudia Mungu. Inasemekana kipindi cha nyuma alipitia wakati mgumu wa uraibu wa pombe na madawa. Hivyo hii ni habari njema sana!!
Mungu ni mwema kila wakati!!View attachment 3089356View attachment 3089357View attachment 3089358
Hapana, huyo ni mzazi wake...😶Ndiyo huyo mwenye Drafti?
🌝🌝Mwamba kazeeka 🙄Mnamkumbuka msanii wa Bongofleva Q Jay kutokea kundi la Wakali Kwanza? Siku hizi ameokoka na kumrudia Mungu. Inasemekana kipindi cha nyuma alipitia wakati mgumu wa uraibu wa pombe na madawa. Hivyo hii ni habari njema sana!!
Mungu ni mwema kila wakati!!View attachment 3089356View attachment 3089357View attachment 3089358
Kitaa sio poa. Na hii ndio shida ya wasanii wengi hapo nyuma, hawakujiwekeza, walitembelea umaarufu. Umaarufu huwa unaishaMbona kazeeka hivo
Jambo jema sana kumrudia Mungu wa mbinguni...Mnamkumbuka msanii wa Bongofleva Q Jay kutokea kundi la Wakali Kwanza? Siku hizi ameokoka na kumrudia Mungu. Inasemekana kipindi cha nyuma alipitia wakati mgumu wa uraibu wa pombe na madawa. Hivyo hii ni habari njema sana!!
Mungu ni mwema kila wakati!!View attachment 3089356View attachment 3089357View attachment 3089358
baba yake ana damu kali kweli kweli, hapo hajazidiwa ujanja. katoa copy ilibaki kidogo tu afanane na mtoto wakeHapana, huyo ni mzazi wake...😶
Chawa wa mondi kanawiliMadawa plus Pombe havijawahi kumfanya mtu akawa kijana