Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,857
- 7,289
Sema maisha yakiamua kukuchapa acha kabisa.
Basi nimechanganya mafileGroup lao wakali kwanza walikuwa wa 3, Q Jay, Joslin na Makamua. Wote wapo unless umechanganya...
Unamsemea Maze B ambaye hakuwa sehemu ya kundiAah basi nawachanganya vibaya mno, anisamehe bure kuna kwenye kundi lao aliyefariki ni yupi?
Basi huyo ndo namchanganya na huyu anaezungumziwa hapa na sauti zao 3 zinafanana kwenye masikio yanguUnamsemea Maze B ambaye hakuwa sehemu ya kundi