Msanii nyota ndogo katika ubora na mumewe

Msanii nyota ndogo katika ubora na mumewe

jr.kiyn

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
809
Reaction score
4,954
1a81368070dcce84abceb6ec50fce04e.jpg
 
Hahahahahaha nyota ndogo ktk ubora wke!!!nimecheka mno hko insta na hyo makeup lol!!jirani ytu!!!
 
Small star babu alimwambia hana mahali small star kakomaa kampgia magoti amuoe...nduguze wakasarika
 
Bila shaka wewe si miongoni mwa waliohariba uzuri wao wa asili binti.....

Oh kaka, kwanini niharibu tunu niliyojaliwa na Muumba? Si ngozi tu hata hizo nywele za wa Brazil sivai, I'm very much organic.
 
Oh kaka, kwanini niharibu tunu niliyojaliwa na Muumba? Si ngozi tu hata hizo nywele za wa Brazil sivai, I'm very much organic.

Naweza kuhisi ni jinsi gani ulivyo mrembo binti....hakika mumeo ni mwenye bahati sana...nakusisitiza uendelee kuitunza tunu hiyo....
 
Wewe utakuwa hata hujabalehe......

teh teh teh teh....ni kweli....kama mambo yenyewe ndiyo hayo, kuwachukulia wanawake kuwa ni wa matumizi ni afadhali niwe sina balehe...mara nyingi (kupitia utafiti) watu wenye mawazo kuwa wanawake ni wa matumizi wana ubabe na wakatili sana...usikute hata housegirls wanawachukulia kuwa watumwa...
 
Back
Top Bottom