Msanii matata LULU na kashfa ya kuhongwa gari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msanii matata LULU na kashfa ya kuhongwa gari

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Lucchese DeCavalcante, Apr 8, 2011.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Staa kinda katika Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu' amefungua kinywa na kujibu skendo iliyoenea jijini Dar es Salaam kuwa, amehongwa gari na kigogo mmoja ambaye jina halikupatikana mara moja.

  Akizungumza na Amani jijini Dar juzi, Lulu aliyefanya ‘wandaz' kwenye Filamu ya Tatuu alifunguka kuwa, suala la yeye kuhongwa gari aina ya Toyota Starlet ambalo linachukua kasi mithili ya moto wa kifuu kitaani, halina ukweli kwani anaendesha magari mengi.

  Alisema: "Jamani nachukizwa na watu wanaofanya kazi ya kupakazia wenzao. Kwanza kabisa sikumbuki ni lini niliendesha Starlet kwa sababu huwa nasukuma mikoko ya aina tofauti tena mikali.

  [​IMG]

  "Hiyo ni skendo tu wameamua kunipikia. Ukweli mimi sina na wala sijahongwa gari, sema tu huwa natumia magari ya kukodisha kwa watu tofauti tofauti.

  "Kwanza mtu akisema kuna mwanaume amenihonga gari hata siwezi kujua ni nani kwa sababu natumia magari ya watu wengi kwenye mizunguko yangu."

  Katika sura nyingine, Lulu aliwashangaa wanaosema kahongwa Starlet, gari analoamini kuwa siyo la kupewa yeye kwa hadhi yake.

  "Ha! Starlet, yaani ndiyo gari la ‘saizi' yangu? Si kweli, mimi naendesha magari makali na siyo la aina hiyo."

  Hata hivyo, Lulu alimalizia kwa kuwataka mastaa wenzake kuacha majungu na kuweka juhudi katika kazi zao za sanaa.

  [​IMG]
   
 2. duda

  duda Senior Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtoto mdogo mambo yake makubwa!! nakapenda kwa kazi zake lkn tabia zero!! urembo unamdangaya!! keep it up Lulu lkn jitambue, you are still young
   
 3. A

  Akiri JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hivi huyu naye ni Star du . labda mi ndiyo sijui maana ya star
   
 4. M

  Mwera JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu nae ni star?basi bongo kila mtu nistar,ngoja wakafyodoe wakachapechape wakaache solemba utoto unakasumbua,kasubirie ngoma kama hakataki kutulia.
   
 5. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kwa uzuri alionao, anastahili kuhongwa gari.
   
 6. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  lakini anadai siyo starlet .. hahaha!!
   
 7. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  liwe gari kali LAKINI SIO starlet!!!!!!!!!
   
 8. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hivi neno "star" ni "variable"?
   
 9. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Mashallah mtoto mzuri haswa anastahili kuongwa magari makali acheni wivu bana.Ebu angalia mapaja mazuri hayana chenga wala zengwe wabongo wivu unawasumbua.
   
 10. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Mbona kama hapo kama ni kwao au kwake compound haipati fagio, je compound yake inapata fagio?
   
 11. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Yaani hayo mapaja wewe acha tu mtoto mlaini sana na ngozi ya nyororo
   
 12. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Another upupu... Anauzuri gani huyo Tamaa tu zinatusumbuwa wanaume
   
 13. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  We Chimo tuwekee picha ya mkeo/girlfriend wako?.
   
 14. S

  Sumu JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,225
  Likes Received: 3,204
  Trophy Points: 280
  Mwacheni ahongwe, kama yupo hapa anitafute nimuhonge Vogue.
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  LULU ni mzuri sana sitashangaa kuongwa gari
   
 16. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  ungepajua kwao ndugu usiombe........kwa tunaomjua huyu mtoto na wazaz wake tunasema...acha mtoto ahangaike maana............ila tu awe na adabu na tatizo kamejisahau kabisa

   
 17. M

  MHAYA CHOKEST New Member

  #17
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tabia zake na umri tofautiiii kabisa
   
 18. only83

  only83 JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kinyaa.......................
   
 19. s

  shosti JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kwa umri alionao wala si mtoto kama mnavyomuita muacheni awe na maamuzi ya maisha yake,ila kwa uzuri wake hiyo gari si saizi yake kabisa na ukizingatia kijua ndo hiki asipouanika atautwanga mbichi
   
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hiki kitoto huwa kinapendeza sana machoni ila ni busara wakamuacha aendelee na maisha yake binafsi, tunashindwa kupambana na maisha magumu kwenye familia zetu tunakazana na hawa watu. Suppose amehongwa wengine tunapata hasara au faida gani? Yaacheni maisha binafsi yabaki ni binafsi atakaye muwahi basi afaidi tu matunda ya uumbaji!
   
Loading...