Msanii matata LULU na kashfa ya kuhongwa gari

Mnasema KITOTO kidogo ila MIBABA mate hayoo....

FATAKI wako kazini, hihihiiiiiiii........

Mie ngoja nibaki na Wahindi wangu..............
 
DSC07255.JPG

Mashallah mtoto mzuri haswa anastahili kuongwa magari makali acheni wivu bana.Ebu angalia mapaja mazuri hayana chenga wala zengwe wabongo wivu unawasumbua.

uko thawa kabisa
 
heri umesema wewe, kuna wazur wametulia hata hawajitangazi kihivo, cku zote wabaya ndo wanajitangaza
 
Mnasema KITOTO kidogo ila MIBABA mate hayoo....

FATAKI wako kazini, hihihiiiiiiii........

Mie ngoja nibaki na Wahindi wangu..............

ana udogo gani huyo???? khaaaa...anayoyajua huyo mengine hata ww huyajui, huyu mkubwa mwenzio
 
Huyu mtoto anakipaji sana ila wajanja wanamfaidi na mwisho wake ni kama wengine tu..

Angekuwa majini angezingatia masomo kwanza huku akifanya kazi zake... Ila weze kuwa msanii bora na mwanafamilia bora pia.

My take she needs a lot of advice for the people around her.. And that should be now not later...
 
kwa umri alionao wala si mtoto kama mnavyomuita muacheni awe na maamuzi ya maisha yake,ila kwa uzuri wake hiyo gari si saizi yake kabisa na ukizingatia kijua ndo hiki asipouanika atautwanga mbichi

zinga la comment.
Ngoja nigonge thanks kabla cjasahau.
Humu wanajishaushaua wakati usikute wao wachafu kuliko huyo binti.
 
Huyu mtoto anakipaji sana ila wajanja wanamfaidi na mwisho wake ni kama wengine tu..

Angekuwa majini angezingatia masomo kwanza huku akifanya kazi zake... Ila weze kuwa msanii bora na mwanafamilia bora pia.

My take she needs a lot of advice for the people around her.. And that should be now not later...
Ushauri kwa huyu umechelewa tayari yuko sokoni.
 
Afadhari amewapa ukweli wale wanaompakazia, kwani yeye hastahili kuendesha gari zuri kama yeye ni mzuri. je akihongwa inawahusu nini maana ni maisha yake.
mwacheni binti wa watu, kwani wengine wanao hongwa inakuwaje, halafu bora yeye kahongwa kuna ambao wanatafuta wa kuwahonga hawajawapata mpaka sasa
 
Back
Top Bottom