Msanii Lulu katika pozi



She is so cute I like the pose too

Haka katoto tangu kale 'nyama ya mtu' kamekuwa balaa! Mikao yake kwenye picha nyingi kanajiona kamemaliza ulimwengu! Kakizoea kata acha tu!
 
haka katoto kangu vinguo jamani vinanikatisha tamaa ,cjui kila nikimnunulia anachuka mkasi anapunguza ??
Naona hata kukaa inakuwa tabu
 
Mambo kanayoyafanya kame-qualify kuwa mkubwa mwenzetu ama kweli umri si kitu sana zaidi ya kuwa ni nambari tu.
 
"kuliko kuzaa watoto 10 wasio na faida, ni heri mimba iliyoharibika"
 
Mimi sikajui hataaa!!!sijui kwa kuwa nina aleji na filamu za kibongo-sijui chochote-kwani kana skendo gani haka??
 
Mbona amevaa kama anaenda kwenye nyumba ya ibada. Huyu si ndo ameahidi kutembea uchi mwaka huu?
 
Mungu amsaidie huyu mtoto naona mama yake anafurahia vijisenti anavyoletewa mhh!
 
Kama mama yake tu, kuna siku waliwatoa wote kwenye gazeti kwa mahojiano ni tabu tupu.

Mapepo ya haka kabinti ni balaa hata wakutane akina Kakobe a.k.a wazee wa upako wa Tanzania nzima bado ni shughuli pevu
 
"kuliko kuzaa watoto 10 wasio na faida, ni heri mimba iliyoharibika"

wivu wa kike huo....kubali ni mrembo wako kama anavaa mabaibui sawa yeye mwache hivyo ni haki yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…