Msanii Lulu katika pozi

Haka katoto tangu kale 'nyama ya mtu' kamekuwa balaa! Mikao yake kwenye picha nyingi kanajiona kamemaliza ulimwengu! Kakizoea kata acha tu!

Inabidi siku ukaruhusu katembeeee Uchi weeee Mpaka katosheke halafu ukanunulie gauni kama la Masista
 
"kuliko kuzaa watoto 10 wasio na faida, ni heri mimba iliyoharibika"

Daa mpendwa, hii lugha ni kali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Haimpendezi mtoto wa kike!!!!!!!!!!!!!!!
Halafu unajua kinywa huumba.................na wakati mwingine kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake!!!
Tuliza moyo!!!!
 
ulimi uöliponza kichwa jamani na hujafa hujaumbika tuchunge midomo yetu maana mwisho wa siku aliye juu atakujaribu:rain:
 
Daa mpendwa, hii lugha ni kali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Haimpendezi mtoto wa kike!!!!!!!!!!!!!!!
Halafu unajua kinywa huumba.................na wakati mwingine kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake!!!
Tuliza moyo!!!!
Lisemwalo lipo kama halipo linakuja hii statement imenishtusha sana hasa toka mtoto wa kike
 
sijawai kuona kamepiga picha zenye heshima hata siku moja ila nakahurumia kweli,kanaitaji msaada kwa kweli!
 
kuna kamovie kamoja kalisema "unaniita mi katoto, kwa taarifa yako naweza kumpagawisha babu yako, baba yako na we mwenyewe".......nikasema duh salaleh!
 
Mwanamke huwa na furaha awapo mjamzito,
na jinsi siku zinavyoenda hufurahi sana
maana anajua yu atapa mtoto,
bali kuna sili kubwa juu ya atamzaa mtoto wa aina gani
mtoto ni mtoto laKini kuna mingine ni mitoto
 
haka katoto kwa kweli kanavutia siyo utani... mtakapo kaona naomba mkaambie nakakubali sana na kuna mtu anajua ni jinsi gani ntakapata kupitia account yake ya facebok basi naomba anipe e-mail yake jamani...:wink2:
 
attachment.php

She is so cute I like the pose too
demu wangu
 
haka katoto kwa kweli kanavutia siyo utani... mtakapo kaona naomba mkaambie nakakubali sana na kuna mtu anajua ni jinsi gani ntakapata kupitia account yake ya facebok basi naomba anipe e-mail yake jamani...:wink2:
Naona wakwale mmeshajitokeza hadharani!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom