Msanii LULU aomba radhi

Status
Not open for further replies.

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
MSANII ‘sidanganyiki' wa filamu nchini, Elizabert Michael ‘Lulu' ameamua kukiri maovu yake yote ambayo amekuwa akiyatenda huku akijua kwamba yeye ni kioo cha jamii.

Akiongea na Amani juzi, Lulu alisema kuwa amekaa chini na kutafakari yote yaliyokuwa yakiandikwa magazetini kuhusu yeye na kubaini kwamba amefanya makosa hivyo kuwaomba Watanzania wamsamehe.

Alisema kuwa, anaamini hakuna binadamu aliyekamilika na kwamba anakiri udhaifu wake huo na kuahidi kubadilika.

"Nimetenda dhambi nyingi sana hivyo nawaomba Watanzania wajue kuwa hakuna binadamu aliye mkamilifu chini ya jua.

"Wakati mwingine skendo zinazoelekezwa kwangu hazina ukweli ila kwakuwa nimebaini wapi nakosea, naahidi kujirekebisha, namuomba Mungu awe nami katika dhamira yangu hii,"alisema Lulu.

Katika siku za hivi karibuni binti huyu mwenye umri mdogo amekuwa akiandamwa na skendo za mapenzi, kuvaa kihasara na ulevi kiasi cha kuwafanya watu kumhurumia hasa kutokana na ukweli kuwa umri wake na mambo anayofanya ni tofauti kabisa.

Source: www.globalpublishers.info

MY TAKE:

Namwombea kwa Mungu ili awe anamaanisha kweli hayo maneno yake, bado ni binti mdogo sana asiyestahili kupoteza dira ya maisha katika umri alionao.

Jikumbushe vimbwanga vya kabinti haka kwa kubofya hapa.
 
Mh Nitampongeza baada ya mwaka mmoja wa mabadiliko.
namwombea abadilike na siyo geleshagelesha hapa
 
huyu binti amekwisha habari yake. shetani kammaliza. Mungu amsaidie tu. anatakiwa kuacha kabisa hizo filamu atengeneza maisha yake kwa njia ya elimu ya darasani. la sivyo, ataolewa kwa mganga wa kienyeji kama alivyofanya mwenzie Nora.
 
Sidhani kama samahani yake ina ukweli unajua mtu anapojutia utamuona tu hata matendo yake kwa wakati huo. Anajua anachokifanya na anafanya makusudi. Lakini kwanini wazazi wamemuachia kuwa huru hivyo wakati bado mtoto mdogo???
 
hakika huyu binti yu mzuri sana!!!
ivm0067.jpg

namshauri akatembelee kasri ya uswazi akajaribishe bahati yake kuliko kusumbuka ma ma-pdg.
 
at least ameongea alichokiona ni tatizo na kukiri kosa! vitendo zaidi tafadhali.
 
...Jikumbushe vimbwanga vya kabinti haka kwa kubofya hapa.




kabla ya tukio hilo zima mambo yalianza taratibu sana akawa anapata taratibu kama ilivyo ada kwa yeyote anayetaka kuharibu siku yake;

kisha akaendelea mbele kwenye next level kwa kuiweka vizuri hiyo khanga wear yake impendezeshe vilivyo ingawa sikuwamo;



picha zote ni kwa hisani ya GPL; wataalamu wa mambo ya udaku wa bongo (with thanx)
 
siamini macho yangu, yaani huyu mtoto ndo alivaa hivihivi kabisaa na kuelekea kwa watu...dah...inawezekana kweli alishacheza picha za pono
 
Sasa The great (RIP) angeachaje jamani?

It is too tempting!
Mmh haya, tunamwombea kwa mungu atoke salama kwenye mikono ya pilato
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom