Msanii Lavalava Muziki umemkataa kabisa inabidi atafutiwe kazi inayomfaa. Afanye kazi gani nje ya muziki?

Lavalava amekulia sana kwenye Dini.....
na mziki Unaushetani .
kinachomfanya Lavalava Ashindwe kusogea mbele ni msanii ambae Ajitumi wala ana Juhudi zozote....

Diamond Anamuangaikia sana Dogo alimwambia aende GYM kutengeneza mwili ili awe na muonekano wa Kisanii.

mimi naweza kusema Dogo ni Nyota tu ndio ana, na Juhudi Za mziki ana .

Ila Kunakitu kimoja ambacho Natka nikujuze nikuwa pale WCB Wanatabia ya Kupena nyimbo wao kwa wao au Kuandikiana nyimbo, Wenda ata kuna Nyimbo Diamond Alisha Andikiwa na Lavalava au Rayvanny .

Nyimbo ya Zuchu na ***** Hadija kopa ile nyimbo imeandikwa na Mbosso ndio Utaratibu wao.

Dogo nyota ndio ana na Juhudi .
alfu kingine Wabongo wanapenda umbea sana kufatilia maisha ya wasanii Dogo ana kiki ana Maisha ya kimzik ambayo wabongo watamfatilia .

Na mziki wa bongo bila kiki Autafika popote . Juzi kunavideo Zilivuja alikuwa anapigana mabusu na Luludiva Aliongelewa sana mtandaoni na Hivyo ndivyo Angetakiwa Atembee za kiki kama izo .

Mpka sasaiv Kiki ndio Zinamueka Diamond kweny Map.
Na Msanii yoyote ambae anatka Kufika mbali kimziki Aige Life style ya kimzi ya Diamond Utafika mbali mfano mzuri Ni Harminize anamuiga kila kitu Diamond.
 
Lava lava kiukweli kurudisha hela ngumu sana. Hata aje kwetu mbwinde huku kiingilio buku hajazi peke yake..

Nyimbo zake zilizohit ni zile alizoimba na waimba singeli.. na wale ndio waliombeba..

Aiseee
 
Lavalava amekulia sana kwenye Dini.....
na mziki Unaushetani .
kinachomfanya Lavalava Ashindwe kusogea mbele ni msanii ambae Ajitumi wala ana Juhudi zozote....

Diamond Anamuangaikia sana Dogo alimwambia aende GYM kutengeneza mwili ili awe na muonekano wa Kisanii.

mimi naweza kusema Dogo ni Nyota tu ndio ana, na Juhudi Za mziki ana .

Ila Kunakitu kimoja ambacho Natka nikujuze nikuwa pale WCB Wanatabia ya Kupena nyimbo wao kwa wao au Kuandikiana nyimbo, Wenda ata kuna Nyimbo Diamond Alisha Andikiwa na Lavalava au Rayvanny .

Nyimbo ya Zuchu na ***** Hadija kopa ile nyimbo imeandikwa na Mbosso ndio Utaratibu wao.

Dogo nyota ndio ana na Juhudi .
alfu kingine Wabongo wanapenda umbea sana kufatilia maisha ya wasanii Dogo ana kiki ana Maisha ya kimzik ambayo wabongo watamfatilia .

Na mziki wa bongo bila kiki Autafika popote . Juzi kunavideo Zilivuja alikuwa anapigana mabusu na Luludiva Aliongelewa sana mtandaoni na Hivyo ndivyo Angetakiwa Atembee za kiki kama izo .

Mpka sasaiv Kiki ndio Zinamueka Diamond kweny Map.
Na Msanii yoyote ambae anatka Kufika mbali kimziki Aige Life style ya kimzi ya Diamond Utafika mbali mfano mzuri Ni Harminize anamuiga kila kitu Diamond.

Kwa hiyo unashauri Lavalava afanye nini?
 
Wasalaam wajamvi!

Kati ya tasnia inayokuwa kwa haraka sana na yenye mashabiki wengi sana ni muziki na sanaa ya uigizaji!

Wadau wengi wamewekeza lakini kwenye huu muziki Diamond Platinumz na uwekezaji wake kidogo umeanza kumlipa na umeonesha kumlipa sana kupitia wasanii alio wasign mfano

- Harmonize
-Mboso
-Rayvany
-Zuchu
-Lavalava

Lakini uwekezaji kwa msanii wa Lavalava umekuwa wa kupoteza zaidi kwakuwa ni wazi inatumika nguvu kubwa na hela nyingi kumsukuma lakini ni wazi Miziki umemkataa kabisa!

Msanii Lavalava amejitahidi sana kuupenda Muziki lakini Muziki na Mashabiki wamemkataa kabisa ni wazi Muziki auwezi kumtoa wala hatoweza rudisha hela ya uwekezaji!

Msanii Lavalava anapaswa kukaa chini na Diamond kumueleza ambacho anaona ataweza fanya nje ya Muziki kitakacho mletea pesa hili asaidiwe kukifanya!

Pengine hata Mashabiki wanaweza msaidia kufikiri kitu cha kufanya nje ya Muziki!

Wasalaaam
UMEUA.
Kati ya watu wanaobebwa na media lakini hawabebeki ni huyu dogo Lavalava 🤣 🤣 🤣 🤣🤣🤣. Ni way below standard.
 
Du basi tu style yake labda siku hizi haikubaliki...ila ndio msanii ambaye nyimbo zake nazielewa katika wote WCB
 
abadilike lamda ataeleweka ,ana styl moja tu ya uimbaji sku zote
 
Back
Top Bottom