Msanii Lavalava Muziki umemkataa kabisa inabidi atafutiwe kazi inayomfaa. Afanye kazi gani nje ya muziki?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
51,967
41,450
Wasalaam wajamvi

Kati ya tasnia inayokuwa kwa haraka sana na yenye mashabiki wengi sana ni muziki na sanaa ya uigizaji

Wadau wengi wamewekeza lakini kwenye huu muziki Diamond Platinumz na uwekezaji wake kidogo umeanza kumlipa na umeonesha kumlipa sana kupitia wasanii alio wasign mfano

- Harmonize
-Mboso
-Rayvany
-Zuchu
-Lavalava

Lakini uwekezaji kwa msanii wa Lavalava umekuwa wa kupoteza zaidi kwakuwa ni wazi inatumika nguvu kubwa na hela nyingi kumsukuma lakini ni wazi Miziki umemkataa kabisa!

Msanii Lavalava amejitahidi sana kuupenda Muziki lakini Muziki na Mashabiki wamemkataa kabisa ni wazi Muziki auwezi kumtoa wala hatoweza rudisha hela ya uwekezaji!

Msanii Lavalava anapaswa kukaa chini na Diamond kumueleza ambacho anaona ataweza fanya nje ya Muziki kitakacho mletea pesa hili asaidiwe kukifanya!


Pengine hata Mashabiki wanaweza msaidia kufikiri kitu cha kufanya nje ya Muziki!


Wasalaaam
 
Zuchu ni lavalava aliyechangamka. Muda utasema. Domo alipatia kwa Ray na harmo pekee maana mbosso aliibuliwa na mkubwa fella

Zuchu kidogo anaweza pata pesa kutoka kwake lakini lava lava hapana aisee
 
Lava lava kiukweli kurudisha hela ngumu sana. Hata aje kwetu mbwinde huku kiingilio buku hajazi peke yake..

Nyimbo zake zilizohit ni zile alizoimba na waimba singeli.. na wale ndio waliombeba..
 
Watu mnaovaa magwanda ya CCM hamna kitu cha maana mtakachoongea, yaani umtafutie kazi Lavalava, kweli?
Kwanini usiwatafutie kazi ndugu zako waliochoka kama wewe?

Yaani mimi nimeshangaa, mtoa mada ukipewa mike utaweza na wewe kumfikia huyo lavalava
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom