Msanii Lavalava Muziki umemkataa kabisa inabidi atafutiwe kazi inayomfaa. Afanye kazi gani nje ya muziki?

Binafsi nazipenda nyimbo zake, nyota tu ndio hana ila talent ipo
 
Ukiachis mbal ile nyimbo yke ya kwanza bora tuachane na ile aliyoshirikishwa jibebe toka hapo sijawah hata kujua jaimba nyimbo gan nyingine
 
Back
Top Bottom