Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

Naamini jize anaingia humu jf..... Watu tulingojea hili tukio kwa muda mrefu.........kuingia chama cha upinzani kwa siasa za tanzania inahitaji ujasiri mkubwa sana...... Ulichokifanya leo kimekamilisha heshima uliyoijenga kwa miaka mingi..... Big up joseph haule...
 
Hii habari itakuwa njema sana kwa Chibolo. Nina imani leo atalala usingizi murua.
 
Dah! Kesho utasikia amefunguliwa kesi kwa kosa la kuvaa suruali ya kijeshi.
"Chezea magamba weye"

Nimecheka sana! Halafu kuanzia muda alio ishika kadi ya chadema ndio kashaagana na kualikwa kwenye dhifa za kitaifa au kuandamana tena na raisi! Hahaha

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
 
Prof J amani iwe nawe.Wapi afande sele sababu mashairi yenu nikweli yanalenga kuwakumboa wanyonge.Mpoto zindikuka
 
Kamanda "Jay" jiandae na mapambano, manake kuna kung'oana kucha, kung'oana meno kwa koleo na kali zaidi kuna kesi za kila aina! Mapambano mema mkuu!
 
Mwenye full album ya nyimbo zake za kuanzia 2000 aturushie humu tuburudike double..... Kweli ww ni prof. Tena wa chuo chenye msuli mgumu kuliko vyuo vyote hapa tz
 
nishawahi kumtweet kipindi fulani kuwa harakati zake na mawazo yake yanahitajika sana katika siasa zetu na yeye akaichukua tweet yangu nakure-tweet na watu wengi waliunga mkono hoja hyo....so am happy now kajiunga rasimi kwa wapigania haki

Huyu ni jembe kushinda hata Joseph Mbirinyi. Alitakiwa achukue nafasi ya Sugu.
 
msikonde wakuu, huyu hapaView attachment 94611
yaani hii breking news,,,imenikuna mhnoooooooooo,karibu karibu j nyumbani tuendeleze ukombozi huku mtaani nishangwe mhnooooooooo,nakupongeza sana kamanda j wahamasishe wengine waje nyumbani,nadhani sasa afande sele,na mwana fa,wapo njiani,haaaaaaaaaa,hongera kamanda sugu,walete walete nyumbani,waambie[cdm]ndio chama pekee tumaini la watanzania,huku hamna kuonga ili upate ubunge,hiki ni chama cha [wakulima na wafanyakazi na watoto wa mskini] letsgo kamanda,
 
Jay wa ukweli waache wabana pua waendelee lamba viatu vya maccm na luge
 
huyu dogo wakati sijui anagoja nini huko,..hapa jay alikula ubwabwa wa ikulu huku akili ikiwa kwenye magwanda
4.jpg
 
Nimejiskia burudani utazani nimekamata mwisho wa mwez na salar slip
 
hahahahaha huwiiiiiiiiii!!!!!!!! Kwaheri ccm,ccm,kudadeki chama cha mafisadi,tuwazomeee haooooo ccm,karbu sana jembe,afande sele,roma,kala jelemayar,mwana FA,J moo more tekiniki.

hapo nilipo-bold in red dogo ana-matatizo ya kufuata upepo wa pesa..yupo tayari kuwasaliti baba na mamake kama anakutana na mtu mwenye vijisent na kumshawishi...muulize sugu mpaka alimtukana "benz jekundu my A#$#%SS"...hao wengine wanaweza kuitwa wana-mapinduzi wa kweli na hasahasa roma-Rhythms Of Magic Arouma
 
Cha msingi chadema sasa inatakiwa kutengeneza platform ya wanasiasa wakongwe (wasomi)wenye mlengo wa wastani watakaofanya kazi ya kuwagroom hawa chipukizi wafikie level ya akina Mnyika,Zitto,Mdee katika kujenga hoja na kujieleza kwa utulivu pasipo jazba ili kuepusha kukifanya chama cha wahuni au vürugu kama ambavyo ccm wanawaaminisha watu kwa sasa.
 
Sasa Mkuu wa Kaya anavyopenda Bongo flava atasikiliza za akina nani? Na CDM now ni ya wasaniiii auuuuu
 
Jenero nasonga rest in peace shida...., Karibu Jay

Ndio Mzee, Ndio mzee. Great Hongera ndiyo kwanza kunaelekea kukucha lazima mwisho wa udhalimu utafikiwa tu.

J wa Mitulinga Mchawi wa RYMES mti mkavu karibu kamanda

piga makofi tafazali

machozi jasho na damu kwa watanzania,,,,,,duh hili pigo ni kubwa sana

Jay Msolopa ganzi mwanasiasa aliyebarikiwa na Mungu kusini mwa jangwa la sahara.... karibu CHADEMA Bro

Hapo vipi?...hapo sawaaaaaaaaaaaaa....kindergaten mpaka chuo kikuu.

Chorus:
Naamini nitashinda mwenyezi nioneshe nuru,
Wenye roho mbaya na chuki wasinidhuru,
Visa ndiyo vimetanda na wanga kwenye msururu,
Ipo siku ntashinda Profesa nitakukuwa huru.

Verse:
Naamini nitashinda,niko vitani dhidi ya shetani.
Dhamira iliyo kichwani ni kumkana na kumlaani.
.............................

Hapo vipi!!!?

Naona watu wanakumbuka mistari katika mashairi ya nyimbo zake
 
Back
Top Bottom