koboG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 2,478
- 4,379
Mkuu umeongea vema kabsaZilipendwa hizo enzi, hivi sasa social networking ndio kila kitu zina nguvu kuliko redio na TV. Ili upepo utulie basi nguvu ya radio na TV iipite ya social networking jambo ambalo haliwezakani na halitowezekana kwa dunia ya sasa hivi, kwani radio na TV source yao kubwa ni social networking, ila social networking inajitegemea na ndio maana siku hizi nyimbo inaachiwa YouTube, instagram, Facebook etc, bila kufanya media tour na bado ina hit. Ndio maana kila radio ina acc ya fb, YouTube, instagram etc na mwisho kaangalie tafiti, wasikilizaji wa radio na TV wamepungua sana sababu ya hizi social networking na WCB wanajua kuitumia nguvu yao ya followers huku social networking na ndio maana Lava lava na Mbosso hawaja pewa promo na CMG na EATV na radio, lkn kila nyimbo wanayoitoa ina viewers zaidi ya 1m, ndani ya mda mchache, ukienda iTunes Kenya wanakimbiza, ukija boom play nyimbo zote ni zao. Ile miaka ya kusema bila wao husongi mbele inazidi kuyoyoma, social networking hivi sasa imekuwa kama kilevyi na Kuna watu wapo tayari wakose hela ya kula na si bando.