Msanii gani kufunika fiesta 2018?

music mimi

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
441
758
Fiesta ndio tayari imeshatangazwa, na mwaka huu haitakuwa tena na msanii wa nje.


Ukiangalia trend ya mwaka mzima.
Unatabiri msanii gani atakuwa kivutio kwenye fiesta ya mwaka huu?

Mimi binafsi naona Maua Sama atafanya vizuri sababu ya wimbo wake mpya iokote.
 
Clouds tabia yao ya kuwekeana mabeef na wasanii itawacost sana na unafki wao kujidai wanampandisha msanii chart ili wamtumie vizuri kwenye Fiesta kama walivyoanza kwa Maua Sama. Fiesta ingekuwa tamu sana kama wangekua na mahusiano mazuri na WCB, lakini ndo hivyo tena.
 
Fiesta hii itakuwa doro sababu ya beef zao za kipumbavu na WCB. WCB hawakwepiki wameitawala social networking na digital platforms kwa 80%, angalia instagram, fb, YouTube, boomplay nk zote zao na siku hizi radio na TV hazina nguvu upande wa promo na hata ukiangalia 70% hits zote tz ni za WCB na hata ukienda angalia ktk hizi website zinaoupload nyimbo eg kideboy, chart yote wametawala wao, YouTube views, kuanzia no 1 mpaka kumi zao so FIESTA 2018 itakuwa si ktk ubora ule uliozoeleka Diamond na WCB, wamewashika kubaya CMG hata kama hawata admit, wamemsababishia millard ayo views ktk acc yake ya YouTube zipungue kwani mda si mrefu GPL na Dizzim watampita.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom