I phone ndo zinamambo yakuripukaripuka
I betHii issue ingekuwa kweli, kampuni iliyotengeneza hiyo simu ingekuwa sued down to their last dime.
karbu kw simu za torch mkuu,kuna watyu twaendlea kuzitumia aseeeImenifanya niogope hizi smartphone, narudia tochi