Msanii BARAKA THE PRINCE Ajiondoa ROCKSTAR4000

Mbona unampangia kabila kwa kuangalia rangi?!
3b939274f0fefcb21d3f5767664a6599.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku alibanwa yeye asili yake kabisa akasema ni mjaluo sema Mwanza kakulia na kusoma
Kiufupi hataki kabila lake la kijaluo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo bhana...

Wakati Ruby anawanyea Clouds mlikuwa mnampa kichwa ingawaje ukweli ni kwamba, ni Clouds ndio walimfikisha Ruby alipokuwa na ni Clouds ndio walioshikilia music industry Tanzania!!!!

Leo hii Baraka anawachana Rockstar4000 mnamkejeli kwamba "Mjaluo yule" ana matatizo!!!

Baraka amefika pale alipofika wala si kwa sababu ya Rockstar4000... sasa kama anaona mambo hayapo sawa ana tofauti gani na Ruby mliyekuwa mnamshangilia?!

Btw, hivi hawa Rockstar4000 wamewahi kufanya nini cha maana kwa wasanii wa Afrika Mashariki? Where is Nameless? Where is Jaguar? Where is Redsan. Binafsi sijaona best female rapper in East Africa kama Xtatic, lakini hadi anakuja kuwashitukia Rockstar4000 ilikuwa too late!! Hao ni wachache tu!!!

Nimetaja Wakenya kwa sababu inafahamika hawa jamaa hawana masihara kwenye fursa lakini kila anayeenda kule, anafia huko huko!!!!
 
Kampuni ya makaburu iyo unyonyaji nje nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama aliapswa sema hayo yote aliyo yasema, angekaa kimya ingekuwa vizuri zaidi. Sidhani kama kuna kampuni kubwa itakuja msaini huyu maana inaonesha hana adabu kabisa
 
Wabongo bhana...

Wakati Ruby anawanyea Clouds mlikuwa mnampa kichwa ingawaje ukweli ni kwamba, ni Clouds ndio walimfikisha Ruby alipokuwa na ni Clouds ndio walioshikilia music industry Tanzania!!!!

Leo hii Baraka anawachana Rockstar4000 mnamkejeli kwamba "Mjaluo yule" ana matatizo!!!

Baraka amefika pale alipofika wala si kwa sababu ya Rockstar4000... sasa kama anaona mambo hayapo sawa ana tofauti gani na Ruby mliyekuwa mnamshangilia?!

Btw, hivi hawa Rockstar4000 wamewahi kufanya nini cha maana kwa wasanii wa Afrika Mashariki? Where is Nameless? Where is Jaguar? Where is Redsan. Binafsi sijaona best female rapper in East Africa kama Xtatic, lakini hadi anakuja kuwashitukia Rockstar4000 ilikuwa too late!! Hao ni wachache tu!!!

Nimetaja Wakenya kwa sababu inafahamika hawa jamaa hawana masihara kwenye fursa lakini kila anayeenda kule, anafia huko huko!!!!
Mkuu umeongea pointi sana,lakini tatizo sio Barakah kutoka Rockstar400,lakini tatizo la waongeaji wengi humu wanaliongelea hili jambo kwa jicho la kishabiki lakini sio kwa hoja zenye mantiki. Barakah kutoka Rockstar4000,kwangu mimi naweza kusema tuupe muda uamue nini kitatokea,lakini sio kusema atakufa kimuziki wakati hata alipokuwa huko hakuna la maana alilofanikisha,na kama ulivyosema Barakah hakujulikana kutokana na hao Rockstar4000. Na kunatetesi nazisikia kuwa HATA LADY JAY DEE NAE ANATAKA KUTOKA ROCKSTAR4000 KWASABABU HAKUNA LA MAANA WANALOMFANYIA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom