Msanii Alikiba ameshinda tuzo kubwa nyingine ya Beffta awards Uk

360nobs-Diamond-Platnumz3.jpg
 
Huku shigongo, huku kiba, mara diamondi, mara makonda ...mpaka hatuelewi! Ndio maana Prof. Ndalichako kaamua kuchukua maamuzi magumu na anapata upinzania mkali!
 
:Majigambo muhimu

:Namuamini mtoa mada

Una jingine?
Ushabiki tu umekujaa, na mnajifurahisha tu kwa tuzo hewa.
Kutoka October 28 mpaka leo ndio mnatangaza kwa sababu zipi zinawafanya mtangaze sasa na sababu zipi ziliwafanya msitangaze kabla kipi kilichobadikika?
Jana au juzi nilisikia Diamond kalamba tuzo huko Nigeria, je ni hii ndio iliyowafanya mkumbuke tuzo mliyoipata October 28?
 
Ni halali yako kushinda mituzo king kiba kwanza happy birthday kings music
AJE na bado tunakuja
 
halafu anacho nifurahisha huyu king kiba hata ashinde matuzo ya kimataifa yy hana majigambo na mbwembwe kupost sijui insta na face book tofauti na wasanii wengine wale
 
Yani kiba tuzo zote hadi akate rufaa, kwahiyo tokea 28 October walishindwa nn kutangaza ameshinda tuzo ila bado haijafika nchini? nafurahi kuona yuko list moja na miamba ya afrika kama mond bin laden na wengine!
Povu
 
Back
Top Bottom