Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 26,769
- 54,198
- Thread starter
- #221
Katibu Kama katibuWewe ni mnazi wa Alikiba.
Katibu Kama katibuWewe ni mnazi wa Alikiba.
Unanipotezea muda dogo. Kaza tako hilo dogo na andika kama mwanaume. ByeeeeeeeMiaka ishirini na ngapi??, Nisha kujua sister.
Haina noma Mwambie mwanao aje achezea liboro dream team fc.
Aisee 2-0 niaje,Unanipotezea muda dogo. Kaza tako hilo dogo na andika kama mwanaume. Byeeeeeee
Oya Mpaji Mungu, Vincenzo Jr mna muona 2-0 😂🤣Unanipotezea muda dogo. Kaza tako hilo dogo na andika kama mwanaume. Byeeeeeee
Achana na ukatibu kwanza, unakuaje shabiki wa msanii aiseeKatibu Kama katibu
Wacha weeeeee.Oya Mpaji Mungu, Vincenzo Jr mna muona 2-0 😂🤣
Usimsahau JKKusaga effects
Mwingine akifanya move ni offside mwngn ni goal🤣🤣livekuku wameyakanyagaOya Mpaji Mungu, Vincenzo Jr mna muona 2-0 😂🤣
We wasemaRadio na TV siku hz hazina nguvu kiivo maaana wanahariri hadi wanaharibu lkn mitandaoni taarifa inaletwa kama ilivyo
Hujui kuna sehemu hapa Tz mitandao haifanyi kazi?Kuwepo kwa mitandao kumewapunguzia sana kule kutegemewa sana na jamii....wakati mi nakua kitakachosemwa radioni ni kwel na hamna wa kujadili, ili saa yako ionekane ipo sahihi lazima iendane na muda utakaotajwa redioni
HataaaaCrown jina baya. Linaenda kufanana na Clouds
Kwamba unahisi Kiba ni wazo lake kuwa na Redio?Ni ngumu Kiba kushindana na Chibu.
Unajua Kiba na Konde waliiga kuanzisha lebo lkn wamefeli sana.
Labda Kiba ajifunze kuwa na management itakayotoa ushindani
Kama Kusaga ataeeka management basi atatoboaKwamba unahisi Kiba ni wazo lake kuwa na Redio?
Huyo ni Kusaga
Bila kuigana biashara haziendiHongera sana kwake! Lkn Mimi naona hii tabia ya wasanii kuigana igana Kila kitu anachoqnzisha mwenzio ni ufinyu wa mawazo na tatizo hili lipo kwa Watanzania wengi sana.
Wasione mtu kafungua kibiashara flani mtaani..! Kesho utakuta Kila mtu mtaani anafanya biashara hiyo hiyo mpaka unajiuliza inamaana hawaoni frusa zingine???
Sio lazima wote tulime! Mwenzio akilima wewe wewe anzisha kampuni ya kununua mazao!
Mwenzio akifungua salon ya kiume wewe fungua ya kike that thing!!!
Haya mambo ya kuigana igana Mimi naonaga kama ni ufinyu wa mawazo ama kukosa jicho la kuchungulia frusa zingine.
Zitarudi kipindi cha 3 😂🤣😁😁Oya Mpaji Mungu, Vincenzo Jr mna muona 2-0 😂🤣
Duniani mahitaji ni mengi kuliko vituBado raia wangesema wamemuiga barkhesa
Kwamba ukifika bei anakupa kama watumia?Kitenge atakuwa wa kwanza kwenda. Yule jamaa hela huwa zinamvua utu kabisa.
Sina ushahidi lkn yawezekana yapoHujui kuna sehemu hapa Tz mitandao haifanyi kazi?