Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

Hongera sana sana Kiba....ila umeongia stress kubwa sana uwe makini na mtulivu...brand yako ndio itakupa matangazo...pia acha kugeuzaaa.....wanaume kashfa mbaya sabaa......kama ni kweliiii
 
Umeongea ponti kubwa sana japo imepitwa kimia kimia. Masafa ya 92.---- ni mtihani. Radio nyingi za kizamani hasa kwenye daladala masafa yanaanzia 70-90. So mpaka hapo mimi kwenye gari hiyo Radio sitoipata. Daladala ambao ndio pia hukuza/promoti hizi redio hawatoweza kuipata. To some extent masafa yatawavuta shati hawa jamaaa.
All in all HONGERA SANA KWA KIJANA MWENZETU KING KIBA
Daladala nyingi hufunga mziki ati ambao frequency ni 108
 
Pamoja na yote,Diamond atakumbukwa na anakumbukwa sana.Kaleta mapinduzi makubwa,halafu wengine wanafuata.Diamond kaanzisha Lebo imara Africa,wakafuatia akina Kiba na Konde,mpaka Sasa sijui wamepotelea wapi,akaja akafungua Wasafi media,naona na kaka yake pia kafuata.Namuombea IDUMU isije ikasuasua kama Lebo.
 
Labda sababu Kings FM ipo Iringa. Ila ingekuwa ni mimi Kiba na jambo langu (achana na la Kusaga) ningeongea na hiyo mmiliki wa hiyo redio ya Iringa abadili jina.

Kings FM ingembeba sana Kiba. Hiyo Crown FM haikaikai sana kimatamshi, labda vile sijaizoea
Facts
 
Staa wa muziki wa Bongo Fleva @officialalikiba amezindua radio yake mpya inayoitwa CROWN FM ambayo inapatikana 92.1 Fm.

Alikiba ameeleza sababu za kuzindua Radio kuwa ni njia pekee iliyoinua career yake na watu kumfahamu kupitia Radio.

Baada ya kuwa msanii kwa takribani miaka 20 sasa anakuwa miongoni mwa Wasanii na watu wanaomiliki Radio.

Hongera sana Ali Kiba.
 
Back
Top Bottom