Duh! Nilishtuka sana. Ninamuombea aendelee na shughuli zake vyema na arejee.AD, Maria kaomba BAN ili aweze kumaliza shughuli zake zilizomkabili hakufanya kosa lolote. Si unajua tena jamvi hilo lilivyo addictive? Shughuli muhimu zinaweza kulala ati kwa kutaka kuchungulia huku kila dakika.
Mmmmmh! Hapana wangu, sasa nikiomba BAN nitakuacha na nani hapa?!! Kama vipi tuombe pamoja
jukwaa lile lina mashabiki wengi wa kimya kimya....
wakuu wa JF twaomba sana msameheni Maria Roza
kwani kuna jukwaa fulani halitaendelea vizuri bilaa yeye
..
twaomba sana wakuu muondoe hiyo BAN ..
Back to the days when Maria Roza was a Super Muwezeshaji wa Jukwaa kuu la JF....
Back to the days when Maria Roza was a Super Muwezeshaji wa Jukwaa kuu la JF....