Msamaha na Kisasi

Na maana ya KUSAMEHE inakua haipo kama huwezi KUSAHAU.
 
Twin dunia ya sasa haitaki mambo ya kufikirika ya kuwa aidha moto au baridi, kwa sababu uhalisia wa maisha unakulazimisha kuwa vuguvugu kimkakati ili ulinde amani yako ya moyo na mafanikio yako.
Ndiyo maana nikasema mara chache uwe vuguvugu sijasema usiwe kabisa

Lakini pia kushindwa kua na upande kwa mambo mengi huko ni kukosa kujiamini na kutojua unachotaka
Hii naunga mkono ndiyo maana nikasema kisasi kisije kugeuka majuto ya milele umakini ni muhimu
Hakika hapa ni sahihi unakua vuguvugu kwa target fulani
Huu ndio ukomavu mkubwa wa akili unaokulinda usiumie kihisia huku ukiendelea kusonga mbele na maisha yako.
Exactly twin unatumia kahawa au chai😊
 
Na maana ya KUSAMEHE inakua haipo kama huwezi KUSAHAU.
Hujaelewa comment yangu,
Kutokusahau ni kama kustay alert,

Mfano nafanya biashara na wewe halafu ukanidhulumu,
Ninaweza kukusamehe ila sitolisahau tukio ulilonifanyia ili nisije kurudia kosa lile tena,

Kutokusahau ni issue ambayo ni ya kisayansi inayohusiana na human brain inavyo fanya kazi,
You cannot force your brain to forget bad or painful memories,sababu kuu ni survival instincts brain wiring and strong feeling,

Brain stores events without asking your permission.
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
 
Sasa kuhaja gani ya kusema umesamehe kwa njee huku ndani una ungua ?
Binadamu tumetofautiana sana japo Kuna mambo tunashea.
Kuna wengine kuudhi wenzao ndio faraja kwao.
Wengine ukimwaga ukimtenda naye anakutenda.
Halafu Kuna akina sisi wa kumwachia Mungu TU ,sisi ni watu wa kufanya mazuri TU ila ukitufanyia ubaya Mungu utaadhibiwa na Mungu.
Sisi visasi hatuviwezi.
 
Sasa kama mtu kanokosea pakubwa nataka sana kulipa kisasi ila uwezo wa kisasi sina nafanyaje?
 
Binadamu tumetofautiana sana japo Kuna mambo tunashea.
Ni kweli
Kuna wengine kuudhi wenzao ndio faraja kwao.
Yes
Wengine ukimwaga ukimtenda naye anakutenda.
Weka mguu niweke ugoko
Halafu Kuna akina sisi wa kumwachia Mungu TU ,sisi ni watu wa kufanya mazuri TU ila ukitufanyia ubaya Mungu utaadhibiwa na Mungu.
Sisi visasi hatuviwezi.
Nieleweshe hapa unamwachia Mungu peke ake ?
Au unakua unalalama kila wakati yaan unakua unaishi na kinyongo mpka siku
Mungu atakopolipa kwa niaba yako?
 
Nimeipenda hii
 
Sasa kama mtu kanokosea pakubwa nataka sana kulipa kisasi ila uwezo wa kisasi sina nafanyaje?
Ni kosa la namna gani umekosewa ili tuone namna ya kuweza kulipa kama msamaha umeshindikana
 
Kuna kusamehe na Kuna kuamua kuacha TU maisha yaendelee.
Ukimsamehe maana yake siku akija na jambo lilelile lililosababisha akudhulumu itabidi umpe tena.Ila ukiacha TU siku akija tena unamtolea nje huko
 
Binafsi naamini katika msamaha

Niwe mkweli tu, bila msamaha, ndoa yangu na bibi yenu ingekuwa imekufa tangu mwaka 47

Tunaelekezwa kusamehe 7x70
kuna mtu nimemsamehe zaid ya 7Γ—70 hivyo amekoswa vigezo vya msamaha nakuwa moto sina dhambi
 
Kuna kusamehe na Kuna kuamua kuacha TU maisha yaendelee.
Ukimsamehe maana yake siku akija na jambo lilelile lililosababisha akudhulumu itabidi umpe tena.Ila ukiacha TU siku akija tena unamtolea nje huko
Nyoka akikugonga kisigino na kukuachia sumu ukajitibu ukapona inabidi akija tena umpe kisigino agonge mara ya pili kwa sababu shambulio la kwanza halikufanikiwa

Come on bro 🀦
 
Hata Mungu anapenda msamaha zaidi,kwenye uislamu kisasi ni haki ila inasemwa kusamehe ni bora zaidi ikiwa mnajua

Kwahiyo utaona kwamba kusamehe ni jambo zuri zaidi na linapendeza,kwanza kwakuwa inakupa unafuu wewe mwenye kusamehe,unajua unapokuwa na chuki moyoni mwako tambua kwamba muda wote utakuwa umebeba kitu kizito moyoni mwako na kila ukimuona aliyekuudhi ndio unazidi kukereka zaidi

Lakini kisasi kwa upande mwingine kina leta uhai mzuri duniani,kwasababu kwa mfano mtu anajua akiua basi naye atauliwa,kwahiyo atakuwa na hofu ya kuua,mwisho wa siku sote tunakuwa salama

Kwahiyo itategemea na moyo wa mtu ukoje,kama unalipa kisasi na haitakupa majuto unaweza Lipa kisasi ila kama kulipa kisasi kwako ni majuto na kujilaumu chagua kusamehe kwa roho safi kabisa

ShesRise_1 nimekusamehe kwa roho safi kabisa ingawa sijui kama ushawahi kuniudhi,hata sijui nimeandika nini hapa
 
Nieleweshe hapa unamwachia Mungu peke ake ?
Au unakua unalalama kila wakati yaan unakua unaishi na kinyongo mpka siku
Mungu atakopolipa kwa niaba yako?
Hapa tunaamua kuyapokea maumivu tunaugulia weee halafu tunayaacha yapite.Tunaanza kujifariji,kama ulinidhulumu nitajisemea mbona hiki kinatafutwa TU,au hakuna atayezikwa na Mali nk.
Tukifanya hivi maumivu yanaisha ila kumbukumbu itabakia
 
Upo sahihi ni bora zaidi kuchagua upande kutumia akili sio hisia
ShesRise_1 nimekusamehe kwa roho safi kabisa ingawa sijui kama ushawahi kuniudhi,hata sijui nimeandika nini hapa
Naona unagawa tu msamaha bila sababu kijanaπŸ˜…πŸ˜…

Hujui unachondika🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…