Dudu langu
Senior Member
- Jul 5, 2026
- 185
- 532
Ulimkuta anainyonyaa au kawekwa 🐶 styleBinafsi naamini katika msamaha
Niwe mkweli tu, bila msamaha, ndoa yangu na bibi yenu ingekuwa imekufa tangu mwaka 47
Tunaelekezwa kusamehe 7x70
Ulimkuta anainyonyaa au kawekwa 🐶 styleBinafsi naamini katika msamaha
Niwe mkweli tu, bila msamaha, ndoa yangu na bibi yenu ingekuwa imekufa tangu mwaka 47
Tunaelekezwa kusamehe 7x70
kusamehe unasamehe lakini haina maana et ubongo unafuta kila kituKusamehe Kwa dhati, imekuwa Ngumu sana Kwa Binadamu, Maana ukisamehe mtu akakukosea Tena, Huwa tunarudia na kusema hii ni mara ya pili unanikosea, Mwanzo ulinikosea!
Hapa tatizo ni matarajio ndiyo hua sababu ya makasirikoNa Visasi tunavyovingi hata Kama mtu hakukukosea, Mfano mtu unamkopa Hela, ukiwa unaamini atakukopesha, kumbe hana, Sasa Kwa Kukosa kukukopesha,siku akija na shida ya kukopa,unamnyima wakati unazo, unakumbuka Yeye hakukukopesha, kumbe alikuwa hana!
Huruma sio maleziMitume wenyewe waliomba kuongezewa Iman 😃kusamehe sio mchezo
Msamaha ni kwa ajili ya anaesamehe upo sahihiMsamaha ni kwa ajili yangu, si kwa ajili ya aliyenikosea ukifikiri kuwa hata mimi huwa nawakosea wengine, hivyo huachilia, maana kisasi kina hasara kubwa.
Fikiria kama mtu amekuchukulia mke wako halafu na wewe unaenda kulipiza kisasi labda kwa mke wake, au vyovyote ukakutana na magonjwa majuto anakuwa mjukuu
Safii babu mambo madogo madogoBinafsi naamini katika msamaha
Niwe mkweli tu, bila msamaha, ndoa yangu na bibi yenu ingekuwa imekufa tangu mwaka 47
Tunaelekezwa kusamehe 7x70
💯 👏👏Samehe kwa mkakati maalumu, pia lipa kisasi kwa mkakati maalumu....
..... kisasi kisikupe majuto, kama ukajikuta upo jail, ukakimbia mji wako, miradi yako n.k
......msamaha usikufanye uonekane bwege ukaonekana huna mipango
Eeh sawa zingatia tu kisasi kisiwe sababu ya kuharibu furaha ,amani ya moyo na kuharibu hatima yote ya maisha yakoNasema hv nitaishi kwenye kisasi kati yangu na uzao wao na wao wenyewe. Hata aanguke mbele yangu au nianguke mbele yake/yao haina maana watu wapo wengi.
Ndio hivyoMsamaha ni kwa ajili ya anaesamehe upo sahihi
Kisasi kinaweza kuleta majuto ya maisha
Hakika Hakika chuki hu mmaliza mwenye nayoBefore you embark on a journey of revenge,
Dig two Graves,
One grave is for the enemy and the second grave is for yourself coz hate ruins your own life and soul.
Asante kwa maoni karibu tena broNdio hivyo
Pokea simu.Hakika Hakika chuki hummaliza mwenye nayo
Sawa mkuu neno lako ni amri kwangu 😎Pokea simu.
Katachagua kusamehe au kalipe kisasi
mtu kama wew kukusamehe ni ngumu, lazima nikulipe kwa yote unayo yafanya😆
Samehe 7×70 mtoto mzurimtu kama wew kukusamehe ni ngumu, lazima nikulipe kwa yote unayo yafanya😆
Penye udhia penyeza Rupia.mtu kama wew kukusamehe ni ngumu, lazima nikulipe kwa yote unayo yafanya😆