MSAKO! MSAKO! MAMNDENYI YUKO WAPI WAJAMENi???

MSAKO! MSAKO! MAMNDENYI YUKO WAPI WAJAMENi???

Arushaone inaonyesha kama uko serious haya come this way my asali. katavi ni baba sukari huwa wapo tu.

Mamdenyi pitia MMU kwenye thread ya BAMpani inayohusu status za wana Jf, Arushaone kajitangaza kuwa yuko single na ana enjoy to the fullest!
 
Last edited by a moderator:
Mmeifufulia wapi hii thread nyie wana!!!? Mamdenyi nakuagiza mfanyie screening Arushaone wewe mwenyewe!,
 
Last edited by a moderator:
He maiti imefufuka! Umefikiria nini leo Mamndenyi?
 
Last edited by a moderator:
Nimemkumbuka wa zamani. nataka nipeleke pingamizi la ndoa yake na madameb.

Thubutu yako,
hapa sikuelewi.
Umemuona kapendeza ndo unataka kuleta pingamizi,
hakuna hyo,
heri Niuawe,ila Ar1 abaki nami.
 
Dawa yako ni kukupora Madame B tu,
Ruttashobolwa ni wakili wangu, kwani umekosa mawakili hata
umchukue huyo wa kwangu.

Wakili wako kwa mpango gani?
Tafuta wakili mwingine,acha tujinafasi bibie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom