MSAKO! MSAKO! MAMNDENYI YUKO WAPI WAJAMENi???

MSAKO! MSAKO! MAMNDENYI YUKO WAPI WAJAMENi???

mpashe huyo.

madame b mimi nawe tunaheshimiana ndio maana hata tulilala pamoja siku zile kule washngton na hatukufanya chochote. Sasa huyu ruttashobolwa mwambie ukweli kuwa asiniingilie anga zangu. Twende lini tena?
 
Jamani hajaonekana tu? Naombeni ushirikiano wapendwa wangu.
 
Arushaone kama wife karunaway from you, just go after her if akikataha ni PM. natoka pangani keso nitakuja kama uko arusha jst pm me. now go to the bed and try to sleep. mwaaaa.
 
Ahsante bt i just need her. Yeye na mimi na mimi na yeye. Anyway i will pm you.
 
Kalale tu mukubwa mamndenyi tutajua habari zake kesho. Nitatumia madawa ya kule kwetu mwanza atajileta mwenyewe, wala ustie shaka. Okey? Usiogope sikuchaji ila unitafutie wateja kama dawa za babu zangu utahakikisha zimekusaidia.
 
madame b mimi nawe tunaheshimiana ndio maana hata tulilala pamoja siku zile kule washngton na hatukufanya chochote. Sasa huyu ruttashobolwa mwambie ukweli kuwa asiniingilie anga zangu. Twende lini tena?

Jamani mbona mnanifatafata kwenye ndoa yangu na Huzband wangu Papaa Rutta?
St. Paka Mweusi ananifukuzia,
wewe nawe unanifukuzia,
nitawapiga kitu cha TwoSome siku moja!!
Halafu ndo mjue kwanini Gazeti la Daily News haliuzwi Tandale kwa Mtogole.
 
Last edited by a moderator:
Namba ya simu/nyumba nilikupa,
kwanini wewe unapata shida mtoto wa kiume,
come this way my asali.


ISIJEKUWA KAPELEKWA MABWEPANDE AU KALA BAN?
arabela, amyner, bishanga, c.6, charminglady, asprin, bishanga, madame b, kongosho, king'ast, erickb52, cacico, denaamsi, jamani ambao sikuwataja mniwie radhi natumia simu. MNIAMBIE MALKIA WANGU YU WAPI??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom