Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,932
Katavi twende sawa naachana kabisa na hawa s/boys.
Aje hapa Mamndenyi aseme kama kweli namlima TALAKA leo hii.
Soma hapo juu, umeshapigwa chini mkuu, naenda naye Lyamba Lya Mfipa...
Katavi twende sawa naachana kabisa na hawa s/boys.
Aje hapa Mamndenyi aseme kama kweli namlima TALAKA leo hii.
Sitaki nukuu nataka aje hapa mwenyewe aseme kwa kinywa chake wanachit-chat wote waone na hiyo ndo nasubiria.
Aje hapa Mamndenyi aseme kama kweli namlima TALAKA leo hii.
Mweleze kuwa mimi na wewe wikendi hii tunaspendi pamoja.Sijakuelewa.
Kaka tamko limeshatolewa, huna chako!sema kweli. Rudia kusoma posts za leo kisha uje hapa uniambie. Siku zote nakwambia sitaki kushea na m2 na leo wewe na katavi mwanionesha nini? Toa tamko hapa.
Wewe binti uitwaye mamndenyi nataka utoe statement hapa kuwa wewe ni wangu au wa katavi. Please reply.
sema kweli. Rudia kusoma posts za leo kisha uje hapa uniambie. Siku zote nakwambia sitaki kushea na m2 na leo wewe na katavi mwanionesha nini? Toa tamko hapa.
sema wewe ni wangu au wa katavi???