MSAKO! MSAKO! MAMNDENYI YUKO WAPI WAJAMENi???

Mamndenyi ninakuomba baadae tukutane kule hotelini kwa ajili ya kumalizia kujadili yale masuala yanayosumbua wapenzi wengi humu jamvini kama tulivyokabidhiwa kamati ba Baba V
Room number ni ile ile uliyonikuta na jeneneke mke wa Ronn M last weekend na kama ukinikosa basi uje tulikokuwa na wewe ijumaa

Keleuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Mbona natatutiw kesi mapema yote hii jamani? jeneneke hii maneno imekaaje mamaangu?
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 simuogopi Ronn M naheshimu utu wangu naona na yeye umeamua kumpakazia ngoja niwaache waje kujitetea wenyewe

Na hii umeiona Ronn M.?Naona Erickb52 anataka kufanikiwa kwenye mpango wake maana ni kama vile umemuamini.Na vipi kuhusu hii?au na we hunitaki tena mpenzi? niambie nichukue changu mapema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom