Ritakahama
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 758
- 411
jeneneke mi sikuharibii ila naongea ukweli meeen
acha kumwogopa Ronn M coz hata yeye niliwahi kumkuta Sisi kwa Sisi Guest House akitoka na BADILI TABIA
jeneneke naomba umwe mwepesi kuamini maana ukijifanya kichwa ngumu utaja pata pressure za bure aiseeErickb52 simuogopi Ronn M naheshimu utu wangu naona na yeye umeamua kumpakazia ngoja niwaache waje kujitetea wenyewe
ohoo...... Kuna haja ya kumgeuza mtu kuwa snail sasa. Katavi na wewe tena?
Mbarikiwe nyote mnao changia hii thread kwa jina la baba na mwana na roho mtakatifu amina. endeleeni kunifurahisha na kunibariki kwa comment zenu nzuri.
haujaona ile picha ya mamndenyi? hata kama umenuna lazima ucheke.
Mam hajarudi bado jaman?
Ha ha ha haaah!!
naona huutakii mema muungano wetu!jeneneke mi sikuharibii ila naongea ukweli meeen
acha kumwogopa Ronn M coz hata yeye niliwahi kumkuta Sisi kwa Sisi Guest House akitoka na BADILI TABIA
ulifichwa wapi mrembo? husomeki jamvini nowdays, lol!Mam hajarudi bado jaman?
Amina AminaMbarikiwe nyote mnao changia hii thread kwa jina la baba na mwana na roho mtakatifu amina. endeleeni kunifurahisha na kunibariki kwa comment zenu nzuri.
Baba V kazi imekuwa ngumu sana,
tumebakia na Erickb52 kuvizia kwenye mahoteli makubwa tu,
watu wanakula kona ile mbaya,
yaani ndoa za humu hazina cheti wala washenga. Sijui kama hii kazi itawezekana.
jeneneke naomba umwe mwepesi kuamini maana ukijifanya kichwa ngumu utaja pata pressure za bure aisee
Niamini mimi please
naona huutakii mema muungano wetu!
Umeona eeeeh MamndenyiBaba V kazi imekuwa ngumu sana,
tumebakia na Erickb52 kuvizia kwenye mahoteli makubwa tu,
watu wanakula kona ile mbaya,
yaani ndoa za humu hazina cheti wala washenga. Sijui kama hii kazi itawezekana.