MSAKO! MSAKO! MAMNDENYI YUKO WAPI WAJAMENi???

Mamndenyi ninakuomba baadae tukutane kule hotelini kwa ajili ya kumalizia kujadili yale masuala yanayosumbua wapenzi wengi humu jamvini kama tulivyokabidhiwa kamati ba Baba V
Room number ni ile ile uliyonikuta na jeneneke mke wa Ronn M last weekend na kama ukinikosa basi uje tulikokuwa na wewe ijumaa

Over my dead body kweli Erick52 unataka kuniharibia baada ya juhudi zote kushindikana?lo it will never happen siwezi kumsaliti kipenzi cha rohoyangu Ronn M narudia tena.
 
mmmh, sasa hapa ulikuwa unafanya nini.

images


Over my dead body kweli Erick52 unataka kuniharibia baada ya juhudi zote kushindikana?lo it will never happen siwezi kumsaliti kipenzi cha rohoyangu Ronn M narudia tena.
 
Over my dead body kweli Erick52 unataka kuniharibia baada ya juhudi zote kushindikana?lo it will never happen siwezi kumsaliti kipenzi cha rohoyangu @Ronn M narudia tena.
jeneneke mi sikuharibii ila naongea ukweli meeen
acha kumwogopa Ronn M coz hata yeye niliwahi kumkuta Sisi kwa Sisi Guest House akitoka na BADILI TABIA
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom