Green Guard Zanzibar ni Imara zaidi ya Chuma.
acha usanii wako
Anajaribu kupima kina cha maji kwa mguu!
Msajili yule sijui sheria yake kasoma wapi,red brigade ni kikosi cha vijana wa chama wanachama wenye kazi ya kulinda viongozi na mali ya chadema basi, mbona ccm wanayo na wanateka watu na kuwapiga ....chadema kataeni upumbavu huo mna haki ya kujilinda kama taasisi....tena waapeni na bunduki,bunduki si inamilikiwa tu kisheria,tunataka kuona viongozi wa chadema na mali zake sasa zinalindwa na walinzi wa chama wenye silaha.Kila mtanzania anawajibu wa kulinda mipaka ya nchi na ndani
Msajiri unakuja na yako ya kusema Ulinzi ni kazi ya Polisi, Je kipindi CCM wanakikundi chao cha ulinzi na kutumika kuwapia wapinzania hukuwa unaliona hili? au mnajiandaa kuwapiga tena mwaka huu? msajiri ongea na CCM, pamoya na PoliCCM walinde kwa haki siikwa upendereo kama wanavyo fanya,:boxing::boxing:, umbea hatutaki:A S-rap::deadhorse: haki itendeke, Polisi kama ni haki yao kila Mtanzania atoe Panga lake ndani, kila mtanzania anae miliki Bunduki airudishe aliko itoa Polisi watamlinda.
Kweli mkuu...ila avatar yako imenifikirisha sana...!hahaha...ndto za mchana. Atafutika yeye kabla ya kuvifuta.
.... Si Bora Kupima Kina Kwa Mguu Mmoja, Yeye Anaingiza Miguu Yote Miwili Kwenye Maji Yaendayo Kasi Eti Anapima Kina Ili Avuke. Hahaha
Polic Hawahawa? Au Wataletwa Wengine, Kama Ni Hawa Tutajilinda Wenyewe.
Kama anajijua ana uwezo huo anasubiri nini asivifute? Sio kukalia manenon ya khangani kama mcheza kigodoro wa kwamfugambwaMsajili wa Vyama vya Siasa, amedai wote watakao kiuka kuvunja vikundi binafsi vya ulinzi vya vyama hivo atavifuta.
Amedai kama Katiba zao zinatambua jambo hilo walifanyie mabadiliko haraka.
Tamko hill limetolewa kwa ushirikiano wa IGP Mangu kwa niaba ya Jeshi la polisi na ofisi ya msajili.
My Take.
Niwazi kwa ubishi wa CHADEMA bila shaka kitafutwa katika medani za siasa.
=========================================
Chanzo: Mwananchi
Kama anajijua ana uwezo huo anasubiri nini asivifute? Sio kukalia manenon ya khangani kama mcheza kigodoro wa kwamfugambwa