Msajili wa Hazina Ndg. Lawrence Mafuru hajui au kashasahau lugha ya Taifa ya Kiswahili?

Ziada ni additional or increment... Jaman translation ya lugha ngumu... Ndo maana jamaa kaamua kuongea Kiingereza.
Kama hujui jambo Ni bora kukaa kimya. Hapa tunazungumzia dhana katika lugha tofauti siyo ordinary language translation.
 
Nimesikiliza na nimetazama video za huyu Msajili wa Hazina wakati anatoa taarifa kwa umma juu ya hali ya mzunguko wa fedha nchini ambao unaleta mtafaruku mkubwa ndani ya hii nchi ya watu zaidi ya milioni 50 na ninasikitika kusema kuwa huyu ndugu pamoja na jitihada zake za kutaka kutujuza sisi wananchi kuhusu hii kadhia ya ya fedha lakini mfano mbovu sana wa viongozi wetu.

Inawezekana vipi kuwa mtu mwenye dhamana kubwa kama Lawrence Mafuru aitishe mkutano na vymbo vya habari halafu anatumia zaidi ya asilimia 90 ya maneno yake kuongea maneno mengi ya Kiingreza kilichojaa misamiati migumu ya kiingereza ambacho Mtanzania wa kawaida hawezi kumuelewa? Naamini kabisa kuwa Mafuru nia yake haikuwa kutujuza yanayoendelea bali ni kutughilibu na maneno mengi ya kiingereza ambayo hayaeleweki.

Hili tatizo nimeliona sana kwa viongozi wetu wakiwepo Bungeni, wakiongea kwenye runinga au radio na mbaya zaidi mpaka miswada na sheria zetu nayo inaandikwa kwa kiingereza ambacho asilimia kubwa ya watanzania hawaelewi na inafanana sana mikataba mibovu ya kilaghai ya wakoloni.

Nikirudi kwa huyu Ndugu Lawrence Mafuru, je hajui kuongea Kiswahili fasaha cha kueleweka au mbwembwe ya kutaka kutuvuruga na kutughilibu tusielewe haya mambo nyeti ya kitaifa?

Wito kama tumefikia hatua ya kuwapa madaraka wasiojua lugha ya Taifa bas serikali iajiri watu kutoka BAKITA kwenye kila idaya ya serikali ili mawasiliano awe mopes kwa na wananchi

Na kama imeshindikana naomba Ndugu Magufuli toa agizo kuwa hawa watu wa serikali waongee kwa kikswahili ili wananchi wapate kuwaelewa na wasiojua Kiswahili wapelekwe kwenye kozi maalum ya kujua hii lugha ya Taifa (kwa gharama zao)

Ushahidi wa ghilba ya Lawrence Mafuru huu hapa:

Watanzania bwana! JPM akiongea kiswahili ooh ile phd ametumia lugha gani na leo Mafuru ameongea kingereza ooh anajitukuza kwa kuongea lugha hiyo. Wacheni mambo hayo. kama huelewi lugha hiyo, kesho itakuwepo kwenye magazeti tuu.
 
kiingereza ndio kinapromote,hata uswazi kutongozwa kiingereza eti inaongeza utamu. Haha.yote ni waliyosema ktk uchumi na mabenki yakiuwa ni upuuzi km wa wachumi wengine au akina zitto wanavyotoka na misamiati waiyoijua wala kuuishi.Kinachofuati ni mwandishi kilaza anapamba kwa kuongezea mtaalamu wa uchumi wa majumba,na sasa hazina.
 
Nani alikwambia ukimbie umande? :D:D:D By the way, kiswahili hakina misamiati ya kutosheleza kuelezea hayo mambo ya kitaalam aliyokuwa anayazungumzia.
Mfano neno 'liquidity' kwa kiswahili ni 'maji maji' kwa hiyo kama angezungumza kwa Kiswahili lugha ya taifa angesema kuwa
'benki nyingi zina kosa hewa (suffocate) kwa kuwa hazina maji maji ya kutosha, kitu ambacho kwa Mbongo wa kawaida angesema kuwa kama benki zinakosa hewa kwa kuwa hazina maji maji ya kutosha, si waende DAWASCO? :(:(:(
Dah, nimecheka kidogo nife!
 
Hivi Kiswahili ni Lugha ya Taifa au ni Lugha yenye wazungumzaji wengi nchini Tanzania? Naomba mwenye kujua zaidi snipe elimu hii maana naona tumekaririshwa bila kutafakari
 
Nimesikiliza na nimetazama video za huyu Msajili wa Hazina wakati anatoa taarifa kwa umma juu ya hali ya mzunguko wa fedha nchini ambao unaleta mtafaruku mkubwa ndani ya hii nchi ya watu zaidi ya milioni 50 na ninasikitika kusema kuwa huyu ndugu pamoja na jitihada zake za kutaka kutujuza sisi wananchi kuhusu hii kadhia ya ya fedha lakini mfano mbovu sana wa viongozi wetu.

Inawezekana vipi kuwa mtu mwenye dhamana kubwa kama Lawrence Mafuru aitishe mkutano na vymbo vya habari halafu anatumia zaidi ya asilimia 90 ya maneno yake kuongea maneno mengi ya Kiingreza kilichojaa misamiati migumu ya kiingereza ambacho Mtanzania wa kawaida hawezi kumuelewa? Naamini kabisa kuwa Mafuru nia yake haikuwa kutujuza yanayoendelea bali ni kutughilibu na maneno mengi ya kiingereza ambayo hayaeleweki.

Hili tatizo nimeliona sana kwa viongozi wetu wakiwepo Bungeni, wakiongea kwenye runinga au radio na mbaya zaidi mpaka miswada na sheria zetu nayo inaandikwa kwa kiingereza ambacho asilimia kubwa ya watanzania hawaelewi na inafanana sana mikataba mibovu ya kilaghai ya wakoloni.

Nikirudi kwa huyu Ndugu Lawrence Mafuru, je hajui kuongea Kiswahili fasaha cha kueleweka au mbwembwe ya kutaka kutuvuruga na kutughilibu tusielewe haya mambo nyeti ya kitaifa?

Wito kama tumefikia hatua ya kuwapa madaraka wasiojua lugha ya Taifa bas serikali iajiri watu kutoka BAKITA kwenye kila idaya ya serikali ili mawasiliano awe mopes kwa na wananchi

Na kama imeshindikana naomba Ndugu Magufuli toa agizo kuwa hawa watu wa serikali waongee kwa kikswahili ili wananchi wapate kuwaelewa na wasiojua Kiswahili wapelekwe kwenye kozi maalum ya kujua hii lugha ya Taifa (kwa gharama zao)

Ushahidi wa ghilba ya Lawrence Mafuru huu hapa:

Hivi baada ya huyu ndo akawekwa mkusanyaji Nauli mwingine mwenye "undugu" na dereva?
Pascal Mayalla.
 
Kama kazi na masomo na mazungumzo kazini yako kwa kiingereza, u=inakuwa vigumu kuzungumza kiswahili moja kwa moja kwa sababau ya kuzokea maneno y akiingereza kuelezea kitu fulani ka ma vile 'non perfoming loans". Hi ni Kawaida. mimi niko sector ambayo nikifanyiwa interview (nimechomeka kiingereza hapo) lazima nitajikuta nafanya hivi hi. Wewe tueleze wapi hukuelewa and we will translate for you
 
huyo jamaa namjua sana, nilisoma naye o'evel ni bishow fulani hivi, hiyo tabia ya kuongea na kuchomeka maneno ya kiingereza ni tabia yake. Kwa ujumla kwake imekuwa kilema. Ila sishangai kwani hata mkui hawezi kuongea kiingereza kilichonyoka lakini kila mara anachomeka maneno ya kiingereza. Hicho ni kilema cha nchi yetu, ili mtu awakoge watu kuwa ni msomi wakati anaongea anachombezana vijimaneno vya kiingereza. Ukitaka kucheka anza kuongea naye kiingereza cha kunyooka, mbona utamuonea huruma jinsi anavyovuruga.
Nilijuwa kama English yake haijanyook aliposema, Shs trilion 1.43 is not small badala ya is not small amount. Kwa anaeongea perfect English would never make such an error!

Technically kajieleza uzuri na kafahamika uzuri sana. I would give him 9/10.
 
Back
Top Bottom