ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,275
- 5,961
Law rance. Pronounced Lo-rance. Dipthong!Bitoz Lau Mafuru.....hahaaaa....mwambie atamke jina lake sasa....hahahaa...utasikia "Lorence"....jamaa anaubitoz wa kitoto sana...
Law rance. Pronounced Lo-rance. Dipthong!Bitoz Lau Mafuru.....hahaaaa....mwambie atamke jina lake sasa....hahahaa...utasikia "Lorence"....jamaa anaubitoz wa kitoto sana...
Neno gumu kwa neno gumu.Tafsiri yako siyo. Liquidity kwa Kiswahili Ni ukwasi.
hoja dhaifu ww mno muulize onni sigala o masambaNani alikwambia ukimbie umande? By the way, kiswahili hakina misamiati ya kutosheleza kuelezea hayo mambo ya kitaalam aliyokuwa anayazungumzia.
Mfano neno 'liquidity' kwa kiswahili ni 'maji maji' kwa hiyo kama angezungumza kwa Kiswahili lugha ya taifa angesema kuwa
'benki nyingi zina kosa hewa (suffocate) kwa kuwa hazina maji maji ya kutosha, kitu ambacho kwa Mbongo wa kawaida angesema kuwa kama benki zinakosa hewa kwa kuwa hazina maji maji ya kutosha, si waende DAWASCO?
Huyu anayelalamika hajamsikia Magufuli...siku hizi haongei akamaliza sentensi bila kuchomekea neno "frustrate" na "Mapato ya Revenue" kwa ajili ya nchi ya Tanzania et....huyu Rais wa CCM nina mashaka kama ni Mtanzania hakyanani!
Ukwasi ni surplus...Tafsiri yako siyo. Liquidity kwa Kiswahili Ni ukwasi.
Mbona huyu hapa elimu yake ya
'kuunga unga', lakini naye anaongea kama Mafuru?
Nani alikwambia ukimbie umande? By the way, kiswahili hakina misamiati ya kutosheleza kuelezea hayo mambo ya kitaalam aliyokuwa anayazungumzia.
Mfano neno 'liquidity' kwa kiswahili ni 'maji maji' kwa hiyo kama angezungumza kwa Kiswahili lugha ya taifa angesema kuwa
'benki nyingi zina kosa hewa (suffocate) kwa kuwa hazina maji maji ya kutosha, kitu ambacho kwa Mbongo wa kawaida angesema kuwa kama benki zinakosa hewa kwa kuwa hazina maji maji ya kutosha, si waende DAWASCO?
HaHHHHhHHaaaaaaaa umenivunja mbavu zng