Msajili: Nafuatilia kwa karibu sana Uchaguzi wa Viongozi CHADEMA kuhakikisha haki inatendeka na Katiba kufuatwa

Kwanini wanaccm wanahangaika sana na uenyekiti wa Mbowe kuliko uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu!
Lakini inaonesha maelekezo aliyopewa ni kutowatambua viongozi watakaochaguliwa endapo waccm hawatashinda.
Watu watu wengi wanaotamani kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Watanzania wengi wanapenda Demokrasia ya Kweli.
Watanzania wengi hawataki vyama vya kuigiza kuwa vinapigania Demokrasia ili hali vinaongozwa kisultani.

Chadema sio tu kilipaswa kumnyima Mbowe Form Bali kumzomea kwa kuhujumu harakati za kujenga Demokrasia Tanzania.

Ni aibu kubwa kuwa na hisia za kujenga chama Kikabila karne hii inayozungumzia Teknolojia.

Tumchague mtu Mwingine ili tujenge Chama Mbadala na sio huu uhuni huni wa Mbowe amelemaza Siasa za upinzani Tanzania.
Kwa muda mrefu Mbowe alikua hataki uchaguzi ufanyike mana alikua hajakamilisha kazi yake ya kuwatimua mahasimu wake ndani ya Chama.
Wa mwisho alikua ni Kalisti. Bado Kubenea, Komu na Selasini. Muda wowote wasiposimama na kumvua Mbowe uenyekiti basi wasubiri kutimuliwa baada ya Uchaguzi.
 
Wa Ccm Katiba ilifuatwa? Mwenyekiti wa sasa alipambanishwa na nani?
Ule ndio tunaita ushindi wa kishindo yaani 100%. Ilikuwa sawa na beberu lililofungiwa na mbuzi demu ( sijui wanamwitaje) chumba kimoja. Hapo mimba ni 100% kama ushindi wa mwenyekiti wa chama lao
tapatalk_1558507668265.jpeg
 
Mkaguzi mbona hukufuatilia kwa ukaribu sana kuhakikisha haki inatendeka uchaguzi wa serekali za mitaa?
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.

Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.

Chanzo: Gazeti la Jiji

Maendeleo hayana vyama!
duh..! Ngoja nipite kimya maana yawezekana ni maagizo kutoka juu.
 
Kwanini wanaccm wanahangaika sana na uenyekiti wa Mbowe kuliko uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu!
Lakini inaonesha maelekezo aliyopewa ni kutowatambua viongozi watakaochaguliwa endapo waccm hawatashinda.
True
 
Watu watu wengi wanaotamani kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Watanzania wengi wanapenda Demokrasia ya Kweli.
Watanzania wengi hawataki vyama vya kuigiza kuwa vinapigania Demokrasia ili hali vinaongozwa kisultani.

Chadema sio tu kilipaswa kumnyima Mbowe Form Bali kumzomea kwa kuhujumu harakati za kujenga Demokrasia Tanzania.

Ni aibu kubwa kuwa na hisia za kujenga chama Kikabila karne hii inayozungumzia Teknolojia.

Tumchague mtu Mwingine ili tujenge Chama Mbadala na sio huu uhuni huni wa Mbowe amelemaza Siasa za upinzani Tanzania.
Kwa muda mrefu Mbowe alikua hataki uchaguzi ufanyike mana alikua hajakamilisha kazi yake ya kuwatimua mahasimu wake ndani ya Chama.
Wa mwisho alikua ni Kalisti. Bado Kubenea, Komu na Selasini. Muda wowote wasiposimama na kumvua Mbowe uenyekiti basi wasubiri kutimuliwa baada ya Uchaguzi.
Rubbish for trashcan.
 
Niliwahi kusema hapa kuwa kwa sampuli ya majaji hawa tulionao hapa Tz wengi wao kupata hata uhakimu ngazi ya kwenye county kule Kenya ni ndoto.

Hawana credibility ya kuwa majaji. Huyu huyu Mutungi nasikia majuzi tu Bashiru amemuonya asithubutu kuitikia wito kwenda kuonana na mabalozi wa Marekani na Uingereza waliokuwa wanamuhitaji kuhusiana na maswala ya uchaguzi uliyovurugwa na akatii mara moja...!!!
 
Kenya mpuuzi kama mtungi labda awe msafisha choo cha mahakama siyo jaji
 
Yaani wametafuta kila mbinu ya kiufuta Chadema wanashindwa......

Ndiyo hasira zote hizi za msajili wa vyama vya siasa!

Hivi hajauona uchaguzi wa serikali za mitaa namna ulivyogeuzwa UCHAFUZI, ndiyo amekuja kuushupalia uchaguzi huru na wa haki wa Chadema??

Hakika sasa ameamua kuweka wazi kuwa yeye anatumika na Jiwe
Mtungi ni kada mtiifu le profesele hana hamu nae
 
Matamko ya namna hii hajawahi kuyatoa kweny uchaguzi wa ccm, mimi naona bora aitwe msajili wa vyama vya upinzani
Na huo ndo ukweli, CCM ni untouchable, hatuwa dhidi ya CCM ni hatua dhidi ya rais na serekali na ni mapinduzi!. ...tuna sheria mbovu.
 
Yaani uchaguzi wa CHADEMA ni mkubwa sana kuliko ule wa serikali za mitaa? Huyu jamaa mitungi imempanda kichwani.
 
Back
Top Bottom