Msajili: Nafuatilia kwa karibu sana Uchaguzi wa Viongozi CHADEMA kuhakikisha haki inatendeka na Katiba kufuatwa

"Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote"

Kuna kila dalili za kuyaogopa majina ya Mbowe na Lissu hapo. Wanachama wa CDM shikilieni hapo hapo, ikiwezekana na nafasi ya Katibu Mkuu mpeni kabisa Heche ili muelekee vizuri ktk uchaguzi wa 2020.
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.

Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.

Chanzo: Gazeti la Jiji

Maendeleo hayana vyama!
Jaa la mtungi ni mbwa koko! Hivi ameshasema lolote kwa yaliyotokea serikali za mitaa?
Yaani watu wanatembea na bunduki wakinyang'anya wagombea form nao wamevaa kijani au magwanda ya mbwa koko wenzake halafu anakunjia mkia mkunduni halafu leo anainua mkia juu? Hague is your future home bullshit
Kwamba wawakilishi wa NEC wanafunga ofisi na kutoa fomu usiku halafu anapewa taarifa na kuchomeka mkia kwenye kinyeo chake - Hell is your home you idiot.
Waziri anajichanganya na kuvunja sheria za uchaguzi wazi yeye anakaa kwenye kigoda cha waganga na mchawi mkuu Magu? No you are a devil incarnate Mtungi sorry Jaa la mtungi.
I hate you
I hate idiots who masturbate their profession because of money and power.
By the way are you still a judge/ No I think you are no longer credible. Wewe ni kibaka tu.
 
Huyu Msajili mtu wa ajabu sana hakutoa tamko lolote Kwenye ule uchaguzi batili wa Serikali za mitaa.

Alafu leo anakuja na tamko la Kipumbavu kama hili.
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.

Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.

Chanzo: Gazeti la Jiji

Maendeleo hayana vyama!
Kavimbiwa kodi zetu huyo
 
Msajili Asimame haki watu wasidhulumiwe haki zao
Hatutakubali wagombea wanyanyaswe sababu ya ubabe wa kina Lema

Tutazipiga
Unapokuwa unatumika tumia akili japo hata robo tu
Screenshot_20191202-190256_1575302613164.jpeg
 
Amfute kazi Jaji!

Acha jaji, hata jaji mkuu anaweza kufutwa kazi na balozi wa nyumba kumi wa ccm. Ama hujui maana ya chama kushika hatamu? Au hujasikia juzi Bashiru akisema Jafo au msajili wa vyama vya siasa akikutana na taasisi yoyote ya nje kuongelea uchaguzi wa SM hana kazi?
 
Chadema wakikosea tu nukta, Sumaye anakuwa Mwenyekiti.. Just like Mwakinyo alivyoshinda zile ngumi, hivyo hivyo Sumaye atashinda tu.. Haaa😂😂 Siasa ny🔴k*🔴 sana

Hilo Zigo liwe mwenyekiti wa cdm?
 
Kwanini wanaccm wanahangaika sana na uenyekiti wa Mbowe kuliko uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu!
Lakini inaonesha maelekezo aliyopewa ni kutowatambua viongozi watakaochaguliwa endapo waccm hawatashinda.

Wapenda haki wote kila mtu kwa dini yake tufanye sala maalumu ya kumwombea msajili asiwe "specialist" wa kufuatilia uchaguzi wa CHADEMA tu!
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.

Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.

Chanzo: Gazeti la Jiji

Maendeleo hayana vyama!

Hatuna msajili bali muuza dili, ni afadhali ya gaidi kuliko mtungi
 
Kashindwa kusimamia watendaji wanafunga ofisi watu wasichukue fomu kwenye uchaguzi wa SM aje kusimamia chadema.kaishiwa huyo msajili
 
Kashindwa kusimamia watendaji wanafunga ofisi watu wasichukue fomu kwenye uchaguzi wa SM aje kusimamia chadema.kaishiwa huyo msajili

Huu uchaguzi wa cdm ni hatari, usishangae hata CDF akatumwa kuja kuutolea tamko.
 
Back
Top Bottom