Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,517
- 6,497
Ni kweli kabisa. Hela iliyotakiwa kuzunguka Tz imeenda kwenye mzunguko wa uchumi wa Canada tulikonunua ndege. Ni hela nyingi sana mjue kuondoka kwa mkupuo kwa kauchumi ka TzPia mafuru kasema ukosefu wa hela ni kwa sababu ya matumizi makubwa ya pesa mfano kununua zile ndege mbili aina ya bombardier zimepelekea hela haionekani kabisa mtaani.
Namshuku sana huyu jamaa kwa kuwa mkweli Kuhusu kutokuonekana kwa pesa.