Inabidi sasa tunapoyaona mambo kama haya ni kuwavamia na kuwapiga. Au tunatakiwa kuandamana nchi nzima kukataa utekaji. Na njia nyingine ni kuwataja hawa watekaji halafu tuwavamie kwenye makazi yaoVitendo hivi vya utekaji mpaka wananchi tuanze kuchukua hatua wenyewe ndiyo vitakoma, bila hivyo vitaendelea