Msaidizi wa Membe, Allan Kiluvya azungumza baada ya kurejeshwa na watu wasiojulikana

KUNA MUDA INABIDI UFIKE, TUWAACHE WATU WAFANYE MAJUKUMU YAO.

ninatest keyboard ya simu yangu.
 
Msaidizi wa MEMBE 'Allan' anachokizungumza baada ya KUREJESHWA na WATU wasiojulikana.

Akizungumza kwa namna alivyoachwa njia panda ya Segerea amesema “Nilishushwa sehemu ambayo niliona ni sehemu salama kwa sababu nilieweza kupata usafiri wa kurudi kwangu.”

Ameeleza kuwa “Wao wenyewe(Wanaodaiwa kuwa Watekaji) waliuliza ni wapi tukikushusha unaweza kufika salama? Nikawauliza kwani tupo wapi? Wakasema tupo Gongo la Mboto. Nikasema mimi nakaa Kinyerezi mkinishusha njia panda ya Segerea nitakuwa salama.”

Aidha, kwa sababu suala hilo lipo Polisi amesema kuwa hawezi kuelezea ni nini kilitokea huko alikokuwa bali tusubiri tamko au ripoti ya Polisi. “Kwa kuwa mimi ni Mkweli sana na najua Polisi watasema kile nilichosema.”

Lakini pia alipohojiwa kama ataendela kuwa Msaidizi wa Membe, Allan amesema kuwa anatumaini ataendelea kuwa Msaidizi wa Waziri huyo wa zamani kwani amekuwa msaidizi wake tangu mwaka 2012 akiwa Mwanafunzi wa Chuo hadi sasa

Awali, alianza kutoa shukurani zake kwa Wanahabari kwa namna ya walivyojitolea kuhakikisha sauti za familia yake, Wanasiasa na Watanzania wote zinasikika. Pia amemshukuru Membe, IGP Sirro na Polisi wote wa Kituo cha Kawe
Maswali Mengi ya kuuliza.
1. Allan anadaiwa alikoswa kutekwa tarehe 2 July alichukua hatua ipi
2. Inadaiwa baada ya Allan kutekwa kulitokea ugomvi baina yake na watekaji mbona appearance ya Allan hata kovu moja hana
3. Inakuaje watekaji wakuteke halafu hao hao wakuulize wakupeleke sehemu salama
Nakubali kuwa utekaji upo lakini sikubaliani na huu wa Allan
Huu unaosemekana utekaji una sura za kisiasa zaidi dhidi ya serikali.
 
Kwa mazingira yote ya tukio Allan alitekwa kweli.
Look at the bigger picture
  1. Membe alitoa neno majuzi kupinga utekaji
  2. Membe ana kesi na Musiba mahakamani
  3. Membe ameonyesha nia ya kugombea 2020
  4. Aliyetekwa ni msaidizi karibu wa Membe
  5. Anaosigana nao Membe wanajulikana wako upande gani
  6. Watekaji wamemteka msaidizi wa kachero mbombezi Membe
  7. Kurudishwa kwa Allan, tena kwa staha ni dalili kuwa kuna wana usalama hawakupendezwa na utekaji huo na majuzi tumesikia kitisho cha kuwaumbua watekaji hadharani
  8. Kitovu cha amani Dsm, mkuu wa mkoa yuko kimya katika tukio zima
Watanzania mnashindwaje kujoin the dots.
 
Kwa mazingira yote ya tukio Sllan alitekwa kweli.
Look st the bigger picture
  1. Membe alitoa neno majuzi kupinga utekaji
  2. Membe ana kesi na Musiba mahakamani
  3. Membe ameinyesha nia ya kugombea 2020
  4. Aliyetekwa ni msaidizi karibu wa Membe
  5. Anaosigana nao Membe wanajulikana wako upande gani
  6. Watekaji wamemteka msaidizi wa kachero mbombezi Membe
  7. Kurufishwa kwa Allan, tena kwa staha ni dalili kuwa kuna wana usalama hawakupendezwa na utekaji huo na majuzibtumesikia kitisho cha kuwaumbua watekaji hadharani
  8. Kitivu cha amani Dsm, mkuu wa mkoa yuko kimya katika tukio zima
Watanzania mnashindwaje kujoin the dots.
nadharia ni nyingi sana,sababu tu mtekwaji kaamua kukaa kimya,wamemtaka nini mpaka aogope kusema?

labda sasa utuambie hayo yote yana uhusiano gani na huyu msaidizi,kwanini wasiteke mtoto au mke wa membe,kama lengo ni harakati za membe?
 
Mkuu hakuna nadharia hapo jaribu kudadavua facts zilizopo.
Ukimya wa Allan hauzibadili facts zinazojionyesha wazi.
 
Unafikiri nchi ikichafuka wewe utakuwa salama?, kemea maovu haya kabla nchi haijachafuka
Sasa utamkemea Nani? Aliyeteka au aliyetekwa?
Aliteka hajulikani. Aliyetekwa anajulikana na naamini anawajua waliomteka na madhumuni Yao.
Tuwabane wanaotekwa waseme kweli. Sio kila siku wanarudi wakiwa wazima af wanapewa na watekaji nauli za kurudi makwao. Mwisho wanakuja na blah blah za kusifu na kushukuru. Isijekuwa ni kick nitoke vipi"
 
Watanzania sio wajinga " Mtekwaji anapoongea na kunywa chai na kamanda" bila umma kupewa taarifa kamili za tukio na upelelezi uliendeleaje na umefikia wapi? Nukuu toka kwa baba hiyo JPM
 
Inaonekana kuna makubaliano ukieleza ukweli ndio mwisho wako.Mtu aliyetekwa akaongea ukweli alikuwa Dr. Ulimboka
Ulimboka hajafa aisee
Ulimboka hakuongea lolote alipotoka matibabu Afrika Kusini japo aliahidi kuongea kila kitu alirudi kimya kimya akadakwa airport story ikaishia hapo na akahama kabisa nchi hii, la kama yupo hajishughulishi tena na harakati maana walichomfanyia wakina agwanda Mungu anajua..
 
Back
Top Bottom