MARA IMARA
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 238
- 163
Tangu mbowe awe NA nguvu kisiasa tumeshuhudia mambo mengi sana ya ajabu ajabu yeye ndo alikuja NA Sera za majimbo/ukanda kipindi anagombea uraisi NA sasa kaungana na Edo tatizo linazidi kuwa kubwa bila kumuweka sawa huyu jamaa wanapoteza muda na rasilimali zetu tu,